@masebofihoma481:

fidelis kilasi
fidelis kilasi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 11:09:28 GMT
25729
597
42
86

Music

Download

Comments

mr_kilti
Mr_Kilti :
Yaani $25 kwa wiki huyo boss muaaji au?
2026-08-06 06:23:20
4
user4075344356594
user4075344356594 :
hiyo 2' 000000 wakati naenda mwanza trip nne tuu naipata nije niende drc miezi mitatu
2026-08-05 13:10:59
3
mussa.kulanga8
Mussa Kulanga :
hizo pesa ingekua hamjumuish na dola ingekua poa
2026-08-06 08:29:09
0
mgongo22
Joseph :
bado hamjasema
2026-08-04 14:20:33
1
ndimbo.ke
Ndimbo Kenya :
Dereva salary/ mshahara ni ngapi
2026-08-08 13:34:22
0
dullahmbati6
dullahmbati6 :
oversty ipo au hamna
2026-08-05 19:02:39
0
madamjaq00
Madam Jaq :
kwa kweli wanapenda Congo Ata muwape ela yakueleweka jamani kufika Congo na kurudi salama sio mchezo kunashida kule balaa Aisee
2026-08-06 07:42:48
0
shadracklaurence
official swahiba :
Bado amja sema
2026-08-05 09:56:59
0
shaaban8206
@shaaban82 :
pomoja
2026-08-05 16:16:49
0
mmarekani.mweusi
MMAREKANI MWEUSI 45 :
mtasema mpaka mseme
2026-08-06 15:28:25
0
hishamofficial6
H❤️‍🩹 :
mh
2026-08-05 14:25:25
0
aidan.kahama
Aidan Kahama :
tunakuja hapo
2026-08-05 09:36:57
0
solomonkingu
solomonkingu :
yan hapo bado amjasema
2026-08-05 17:19:36
0
kulwabazilio
ZIRO7 :
bado sanaaa
2026-08-05 07:00:42
0
bashi_isher
Bashi_isher :
dar ukishusha inaitwa iwe laki 9 pia
2026-08-05 18:39:21
0
ankoraj
DEREVA MSANII.OG brand :
hapo bado Dollars 2,000 elfu mbili itapendeza zaidi🤣
2026-08-05 07:23:38
0
awensamu
mussa kaniki :
kwann izo pesa amtoi kwa pamoja tuu
2026-08-05 14:20:29
0
godfry120
godfrey mushi 120 :
amna kazi apo mkuu jipangeni upya watu tupo kwenye ml 3 na kuendele we bado unalipa kizamani
2026-08-06 17:59:09
1
theodory.dominiqu
Theodory Dominique :
Yule mzee mwenye gubu mshamtoa maana ndo anawakosesha madereva
2026-08-05 09:41:33
1
uncel.hassan.567
slk :
mambo mengine oficis za kibongo masusu kweli hasa hiyo ya kapiri alipe dereva parking tunduma siku nne alipe dereva hee mbona ni maajabu
2026-08-05 16:43:59
1
tithombiduka1
Titho mbiduka :
wakat kuna watu wanalipa 3m na Congo wanapush hatar
2026-08-05 15:48:38
1
23salimmpole
salim😍 :
daaah yan sasa mke wang na mdanganyaje sasa maileg ziko wazi hivi😳
2026-08-05 11:08:52
4
kobe79412
kobe :
bado hamjasema endeleeni kununua mataka taka na police wanawakazia vijana lesen
2026-08-05 21:47:38
1
jeffryder744
Jeff Ryder744 :
Mwaka huu mtazipiga Gear wenyewe tu Akii vile.
2026-08-05 09:07:47
2
amirbakary125
amirbakary125 :
kaka matan boy vip hawaitajikii?
2026-08-05 08:22:44
0
To see more videos from user @masebofihoma481, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About