Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@dr.jessy09: Kwikwi kwa mtoto fanya hivi#fypシ #fypagetiktok
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 11:35:51 GMT
91268
4835
178
404
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.5MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.5MB
)
Watermark .mp4 (
5.51MB
)
Music .mp3
Comments
cute ren🥰🥰 :
me namwekea uzi wa nguo zake😳😳
2026-08-04 13:30:36
35
DORCAS ELIJAH :
Be blessed Doctor J🥰
2026-08-04 12:21:07
1
Mungu njo kilakitu :
Dada mimi ninamimba changa ila natapika sana 😩😩nifanye nini nisitapike
2026-08-04 14:14:12
5
🌹🌹Naya🌹🌹 :
kwikwi ndio nini
2026-08-04 16:06:06
3
foe@dady's girl :
😂😂😂 m niliambiwa ukiwa mzazi utakuwa kama mchawi maana kila unachooambiwa ufanye,unafanya
2026-08-04 11:42:45
10
odetha :
asante
2026-08-04 12:56:40
0
Rin De'Cleo :
kwe kwe ndio nini sasa😳😳
2026-08-04 20:03:50
2
anethnzogera2 :
hiooo ya piliiii naipendaaaa na je unafanyaje mtoto akimaliza kunyonya akalala kabla ya kumbeulisha?
2026-08-04 14:29:13
2
hadija mwaliko :
doctar mwanangu anasumbuliwa na ngiri
2026-08-04 20:13:26
0
Topland@ LindaG Nails :
nilidhani kwikwi unamwimbia wimbo ya Zuchu😂
2026-08-05 09:23:28
0
Mkaka wa Kimara. :
wangu anawekewa kinyuzi na kwikwi kwishaaa😄
2026-08-04 19:27:21
2
Miss Jannet :
Mm Nisaidie kwanza nipate uwo ujauzito 🥺
2026-08-04 16:43:41
3
Suzana Japhet :
hila mitandaoni mnatuchanganya mwanetuu nyie si ndo mlisema akitumia hyo anakuwa na uwazi kwenye meno syo nzuri au ???
2026-08-04 16:27:02
1
marymary98197 :
Daktari your best ulisema mtoto afanyiwe message apunguze kulia ndio alale .nilifanya hivyo analala kabisa hata nasahau Niko Na mtoto Kwa nyumba
2026-08-04 17:32:42
0
🌸Yunaitham👑 :
Na Ile mtoto kapaaliwa unaambiwa mpuliz utosin wengin mshike kidole cha mwish cha mkon wa kushot ni kweli au
2026-08-04 17:50:23
0
Peninah Gakenia :
Mtoto wangu ako miezi nne na anakata weight nifanye aje
2026-08-05 14:48:51
0
irene :
mi naekaga uzi haha
2026-08-05 16:23:27
0
Juma Ndimba :
mtoto wangu ndo kwanza anamiezi 3 lkn kila nikimpa pacifier anaitema
2026-08-04 21:25:24
0
jamilajuma30 :
mwanangu hicho kidder hakitaki anakisukuma na clinic na bado mdogo wa miezi 2 na hakitaki
2026-08-04 17:03:06
0
DORCAS ELIJAH :
kwakweli Mungu akubaliki sana, unatuokowa kwa mengi. nmekufatilia toka nikiwa mjamzito wa wiki mbili mpaka sasa nina mtoto. nashukuru kwakweli 🙏🙏
2026-08-04 12:20:40
3
mamaevelyni :
nimekufollow
2026-08-04 12:59:40
1
panny :
nakuomba huyo mdori
2026-08-04 11:40:56
0
Fidu💃 :
mimi mwenyewe hupata kwikwi🤣
2026-08-04 13:33:25
1
adelove583 :
lakin inaishaaa😂
2026-08-05 16:06:12
0
prisca :
utosi usipo dunda dunda kwa mtoto husababisha madhara?..
2026-08-05 15:31:23
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Like Jennie❤️🩹🎀 #jenniekim #kpop #idol #likejennie #copylink
tag the friend who makes you feel like this 🥹 #teletubbies Video: Tinky Winky and Po, the purple and red Teletubbies hug.
hủy fl là phải nói cho tụi bây bt à, tao hủy fl t cũng không nói t là idol hay j hết hay là chảnh j hết vui lòng đọc cho rõ?? #viralvideo ###pangbowen #xhuongtiktok #pangbowen🐟
Nuoc tẩy trang nhà soinlab nha nm. #nuoctaytrang #goidau
A Desperate Gamble
โคตรจจึ้ง โคตรดี ลองเถอะแกรรร…มันดีจริง#แผ่นแปะหน้าท้อง #รีบกดก่อนหมดโปรจ้า #fypシ゚ #ขายทุกอย่าง #ขายออนไลน์
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy