@dbashvidz: Farouk Komara alivyotambulishwa Yanga muda huu #fyyyyyyyyyyyyyyyy #yangasc #wananchi

Dbash Vidz
Dbash Vidz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 11:58:28 GMT
109031
5281
36
35

Music

Download

Comments

somebodydaughter30
somebody daughter :
sisi sio wajinga hatuleti timu uwanjani
2026-08-04 14:14:31
4
lizy.boy10
lizy boy :
jaman munataka kufanya simba wasilete timu
2026-08-04 14:27:16
4
humble_strider
MUMY -brother's (king's 👑) :
mpaka naishiwa bundle jmn kufatilia yanga... NASHINDWA KUWAELEWAAAAA....
2026-08-04 17:22:25
1
user50294638654188
TRIPLE L :
sasa hivi simba ni under dog kwa yanga
2026-08-04 15:46:41
3
ngaraba00
Ngaraba Grace :
kwani Leo ndo wanatambulisha?
2026-08-04 13:50:07
4
christinechristin8410
tinne_G@18 :
jaman kwan jez za msimu ni zipi mbona sielewi???
2026-08-04 15:20:55
1
jrkichwamtambo
jrkichwamtambo :
💚💚💚
2026-08-04 17:20:22
0
shonde261
Shonde 26 :
10,10
2026-08-04 16:37:02
0
prety.girl795
cathe💝 :
hii lini?
2026-08-04 13:34:50
1
shamlite19
kijana wa busara :
namba ngapi huyu
2026-08-04 17:00:52
0
melengalimakenge
JENGA NASI NYUMBA :
yanga yetu hiyoooooooooo
2026-08-04 12:48:31
1
usernameikotouch
IKO BOY####Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
kwani kutambulisha si tare tisa jaman mbn mnatuchanganya ety
2026-08-04 14:34:16
0
davmwangoka0
user2165564933466 :
yanga
2026-08-04 12:39:42
1
elizapce2ci
Elizabeth :
😂😂🥺
2026-08-04 14:33:24
0
luhendekafinge930
JR :
JAman naomba kulza hapo ni wp Ety
2026-08-04 14:35:55
0
rosesebastian315
rosesebastian315 :
mambo moto
2026-08-04 14:40:01
0
victoria.anthony92
Victoria Anthony :
raha za yanga sas tutanenwpa mpaka tupasuke
2026-08-04 15:02:46
0
user6886345231041
user6886345231041 :
yanga oyeeeeee👍💚💚💚
2026-08-04 12:45:18
0
user44368114299813
TANZANIA 90 :
mnunulien na chanuo sasa
2026-08-04 13:41:57
2
sheddy142
sheddy :
macameraman wamezidi sasa adi jamaa anaona aibu wanampapatikia sana
2026-08-04 13:05:44
2
amani.chatila.eli
Amani Chatila eliasi :
ujinga tu yani mtu anatembea ata hujajuwa anachezaje mnasema eti simba hawataleta timu kwa kipi sasa nyie mtashangazwa na simba
2026-08-04 16:36:24
0
modotalent
modo talent :
kuna sabab gan yakutambulisha wachezaji wakati unazindua jezi,je ikifika siku ya yanga day unatambukisha nn jezi au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-04 16:56:17
0
uchizi145
uchizi145 :
anafanana na bossou ss cjajua uchezaj wake utakuwa hvo hvo au laaah
2026-08-04 18:39:21
0
thomas.yonah
Thomas yonah :
😳😳😳
2026-08-04 14:16:33
0
mwamajiga.jr
Mwamajiga jr :
🔥🔥🔥
2026-08-04 17:24:46
0
To see more videos from user @dbashvidz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About