hii story ni Mimi mtupu nili angaika namshukuru brother jackson na mwisho wa siku nika enda drc 🙄
2026-08-05 12:33:16
0
JOHN kahandukya :
Congo inabeba sana kwa kweli, karibuni kwetu mzee
2026-08-05 09:01:17
0
Operator kenny Foggy :
Dah nomaa sana
2026-08-05 07:27:12
0
babelijohn :
Naenda congo 😂😂😂😂😂😂
2026-08-05 10:39:01
0
𝐓𝐲𝐫𝐚𝐧_✨💦 :
Maisha ya kweri🤲
2026-08-06 05:49:44
0
goodluckgoppa :
🫡🫡 Hii hatua imefanya wengi kufungia vyeti na kuangalia mishe zingine.Huwa inakatisha tamaa kabisa hasa ukiwa hauna watu wa kusupport hatua zako … Content kali hongera sana Op
2026-08-05 15:22:14
1
Abduli karimu tz :
next
2026-08-04 15:53:26
0
international op aviiiiy🦺👷📟 :
jamanii namii kama mungu wako alikusikiaa namii naomba nafasii ya kujitoleaa nipateee uzoefuu wa excavator munguu sikiaa kilio changu🙏naomba munisahidiee