@dstvtanzania: #whattowatch #tanzaniantiktok🇹🇿 #juakaliseries #kenyatiktok

DStvTZ
DStvTZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 15:00:00 GMT
172348
15091
245
66

Music

Download

Comments

fathy_m28
Fatima :
Uyu lamata nae anaweka siri mda mrefu bana
2026-08-04 15:53:46
151
elizabethemmanue574
elizabethemmanue574 :
hapo akishtuka anaita Enzo Enzo mwanangu😂
2026-08-04 15:49:09
164
mummyh333
mummy of H :
Enzo is strong guy I have seen in the world. Big up brother
2026-08-05 07:23:01
2
beatrice.sadick
Beatrice Sadick :
Davis aliyaona haya mapema
2026-08-04 16:13:26
55
ms_irene23
ms _ irene🦋 :
hapo mama enzo atapona mwezi wa 11😂😂😂
2026-08-05 07:49:25
18
user2440236760691
[email protected] :
enzo unafeli brother
2026-08-05 05:00:31
1
user2867610925172
benadetha :
kiatu cha Enzo hakinitoshi 🙌
2026-08-04 15:32:37
152
roshny909
Roshny :
huu uongo ufike mwisho sasa
2026-08-04 15:09:08
45
tecla.electrical
Tecla Electrical :
sasa nimeamini uongo ni kitu kibaya sana
2026-08-04 15:57:57
45
jaxcmv7
Jackson J. Marko :
Mtu katoka Kijijini vizuri kakaa Dsm vizuri tu siku aliyoenda kumuona doctor tu ndio kapelekwa ICU😅😅😅
2026-08-04 18:01:06
21
zenabetha
Zenana💕💝 :
Me nimestop kuangalia mpaka siri zianze kufichuka🤣
2026-08-04 18:11:29
13
dotto.goliama
dotto goliama :
maskin enzo
2026-08-04 18:32:01
0
phiner.baby8
phiner baby🌄 :
Enzoooo kalilie nje tafadhali babaaa
2026-08-04 15:50:17
9
imaxtuartz
STUART :
siku za mwizi sio 40 ni 365 ½
2026-08-04 17:20:39
11
joyceelias36
Joyce Elias210 :
Tuachen kudanganya jamni
2026-08-04 15:36:25
9
annarhodeshia
Annarhodeshia ❤️ :
Mara paapu mgonjwa anawatupa mkono. 😂😂🤭🤭🤭kama namuona ENZO Anavyoenda kulilia Chooni
2026-08-04 19:24:19
6
user1876678499837
user1876678499837 :
Enzo anaumia hapo jamani
2026-08-04 16:02:46
6
zenuu.stationary
Zenuu Stationary :
Enzo mwanetu ameweza kukaza
2026-08-04 16:40:24
6
user44754922760654chriss
Christian :
yaan mwanaume hutakiw kua kama Enzo maan Enzo kapotezwa na ujinga wa Regina Aya SAS saiv anashindwa ata kua huru Kwa mam yake
2026-08-04 16:22:32
6
maryamiddi6
maryamiddi6 :
patric ana jambo lake
2026-08-04 16:17:21
15
abubakariasha
ummutwalibu :
madhara ya uongo mama kalala unashindwa msogelea Etty mapenzii
2026-08-04 16:26:14
5
neylee0
Neylee :
ila uongo mbaya sana, kunalakujifunza hapa
2026-08-05 08:42:02
4
rustisshirima5
Rusty :
Kwani hapa mama Enzo alikuja kama nani
2026-08-05 08:22:52
4
feycute91
feycute :
Regina kakosea sana kumleta mama enzo apo😒
2026-08-05 06:40:40
0
kidoti505
kidoti :
hii muvi nimeanza kuingalia kabra sjaolewa,had nimeachika bado haiish tu
2026-08-05 13:29:52
1
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About