habari naitwa stephan natokea kampuni ya falcon inahusika na uuzaji na usambazaji wa chakula Cha kuku 🙏tupo tegeta DAR ES SALAAM je ungependwa kulishwa na sisi pia tunao.vifalanga 🙏
2026-08-04 13:21:38
21
PABLAVISS :
Napenda kuona mdada anajituma kama ivi.
2026-08-05 12:19:39
27
Mr :
Natural beauty 🥰
2026-08-05 12:25:33
1
Best Bro! :
Bora ulishe kuku wanafadhira kuliko mapenzi
2026-08-06 18:43:11
1
shamila677 :
samahn ayo majan ya nini
2026-08-05 17:38:14
1
user4452696726001 :
soon banda likikamilika nakua baba kuku 😁
2026-08-04 20:22:05
5
@shauria94 :
nawez pata mbeguu
2026-08-05 06:39:02
1
𝔸𝕟𝕦𝕒𝕣𝕪 𝔸4👻 :
Naomba nije nkusaidie mdad😩
2026-08-06 04:34:22
4
Eunice shoes :
Hii nyimbo ipumzshe🥺
2026-08-05 13:05:39
1
JACMIC IOT SOLUTION :
nimekupenda buree ....good role model kwa wanawake wengine
2026-08-06 04:56:05
1
l-b😜y :
lucy 🥰😘🥰😘
2026-08-04 12:34:58
1
Har B Pro :
mungu nipe kama uyu tu🥺
2026-08-05 22:03:56
1
onesmo 💅 :
Kumbe kuku wanakula mchicha watu mnasiri😂
2026-08-06 18:18:03
1
de poizon :
mungu anipe kma huyu nitakuwa nipo tayr anitoe kafar
2026-08-05 13:14:58
1
warrior👧🥰 :
ndoto yangu 🥰🥰
2026-08-06 14:27:36
2
Fanboy⭐️🏆💫🇳🇴 :
Daaah wangu wamekufa wote Daaah
2026-08-05 12:06:38
0
BALVERS BLOWIN :
Asante sana kwa yote
2026-08-05 10:10:25
0
madam shuu :
mambo mbog gani hiz plz kama hutojl
2026-08-06 08:16:49
1
idd_Tz :
Unawauza
2026-08-04 20:06:46
1
sultan :
keep it up napenda unavyopambana
2026-08-04 18:23:31
1
Azaria Mestuda :
dada nifunze
2026-08-05 14:31:41
1
Ridouane :
ww masha Allah je t'aime beaucoup ❤️❤️❤️
2026-08-05 08:17:02
1
To see more videos from user @lucytwigah, please go to the Tikwm
homepage.