@madiniplus_: Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka, anawashauri vijana kutanguliza uwekezaji kabla ya ujenzi wa nyumba. Anaeleza kuwa badala ya kutumia kiasi kikubwa cha fedha kujenga nyumba mara moja, ni vyema kutumia fedha kidogo kununua mashamba na kupanda miche ya uzalishaji kama parachichi, kisha kuacha mazao hayo yakue kwa miaka michache na kuzalisha faida itakayosaidia kujenga nyumba bila msongo wa mawazo. Video, Mchuchuma TV

Madini Plus
Madini Plus
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 12:41:14 GMT
148835
5936
258
655

Music

Download

Comments

maragoramadhan
maragoramadhan :
Imagination story ,njooo kwenye field uone
2026-08-04 16:39:41
1
mcomplicatedd
DETACILPWOCW :
this guy is a genius.he is the first tanzanian with such a brilliant brain.
2026-08-04 17:32:54
0
annethwhitlow
Anneth :
Oops! bad advice Haya Tza 🏃🏽‍♂️‍➡️🏃‍♀️
2026-08-04 20:22:24
0
user9216330003414
Magagala :
Asante Kwa ushauri wako..ila mm kipaumbele changu ni kujenga kwanza
2026-08-05 09:17:43
21
jastinenorbet
Eng. Jastine Kajuga :
Big brain.
2026-08-04 14:54:46
1
queen.norah80
queen.norah80 :
Duuh bc mm nishaharibu lkn nimejenga kwa ajili ya mama ang kateseka san nyumba za kupanga Mungu atanipa mtaji zaid ya hapa😭😭❤️
2026-08-05 07:04:26
13
dionestermwinuka
miss dion :
Uko sahihi kabisa ila sitafanya unachosema😂😂
2026-08-05 02:02:37
36
msukumawakatoro12
Msukuma Wa Katoro :
motivation speaker
2026-08-04 14:02:04
3
kasimubakar
Alreza :
Hela ni za nani mbona tunashauriana tena
2026-08-05 03:39:53
10
jasexpeditions
jasexpeditions :
Kila mtu na timeline yake babu tusipangiane
2026-08-04 15:01:32
20
kyaro139
Naah :
hususani biashara yangu ya mbao huniambii kitu father 🥰nazipenda Hadi now nalala porini one month 😂siwez lala mbali na miti kabisa..
2026-08-05 05:23:25
5
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
Nimenunua hekari 200 Namtumbo kwa mil 5 Tu nimepanda korosho hekari 100 gharama jumla mil 7 mwaka 2030 napiga fedha Tu ntakenga nyumba niipendayo
2026-08-04 17:15:46
17
chief_malundi
baba isaac :
nimeapa sitakuja kuchokoza ujenzi 😂😂
2026-08-04 18:06:52
7
eddybe2b
The Lastborn :
kila mtu na maamuzi yake, mimi kujenga ndo ndoto ya kwanza katika mambo yooooote
2026-08-05 11:45:05
1
vicentphidelis
Vicent Phidelis :
Maisha hayana formula Kila mtu atapitia njia yake tutakutana mbele kwa mbele....ndo wale ucnunue gari Jenga kwanza...😀😀...nunua gari na kujenga utajenga tuu
2026-08-04 13:42:11
16
bakarimsumali
Bakary M Mason :
kila mtu na ndoto zake wengine washaa fanya kilimo sana kwao wanataka kubadilisha upepo
2026-08-05 11:27:00
1
jupter3348
jupter :
mtaka yupo sahihi ila watu wengine hamtajua anamaaanisha
2026-08-04 14:32:38
7
chif.ngote.classc
Chif Ngote Classc :
mjomba kilamtu na akli yake
2026-08-04 14:40:23
3
123456789k123451
BABALAO :
kuna clip nimeona jana eti ekari moja ukilima njegere hamna hamna unavuna gunia 60,,,kwani hii imekaaje wakuu nisije nikauza nyumba yangu alafu kikanilamba😃😄😄
2026-08-05 11:53:20
1
mtetezi.wa.elimu
eagle :
mim nimejenga chumba na sebule na choo chanika kwa mil 6 nimeuza 12m utanambia nin.
2026-08-05 10:47:45
1
kassimcordovaboy
Kassim Cordovaboy :
wemzee kilimo sio rahisi ivyoo
2026-08-04 16:29:04
1
ramamahanyu
mahanyu ramadan :
watakao mwelewa huyu mzee niwachache mno
2026-08-04 17:06:03
4
irmaosalvatory
Irmaos :
Jarb ufilisike huwa hawatoi hasara huwa wanaweka Faida tu
2026-08-05 09:43:09
1
gabrielyohana8
yohanabuliba :
ilo soko lipo wapi?uwa mnaongea kirahisi wakati izo kazi nyie amfanyi
2026-08-05 11:19:00
1
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About