Ubarikiwe sana kwa hili… nimeona post wakati sahihi
2026-08-04 13:13:17
34
EDEN_ BEAUTY :
Mm nina ushuhuda; ya kuwa Mungu hupima kiwango cha imani zetu kwake ndio akupe kile unacho kihitaji, honestly nilikuwa nashindwa kuamka sa8 usiku au nikijitahidi kuamka leo kesho nashindwa kuamka lakin sikukata mamaa nikawa naamka tu muda wa kawaida sa1 asubuhi napiga magoti namlilia Mungu kwa imani, Kwakwel Mungu alinishangaza alinijibu kwa wakati hata haikuchukua muda nikaona matokeo, NINAENDELEA KUSHUHUDIA KWAMBA IMANI INANGUVU KULIKO YALE TUNAYO TAMKA🙌 AMINI AMINI AMINI AMINI NA UTAPOKEA
2026-08-06 14:07:33
18
lulunyava5 :
sikufunga ila niliamka sa Tisa kuomba hayo maombi nimeamka saa 5 kanijibu. nyie Mungu yupo na anajibu
2026-08-07 12:56:52
7
hehe girl :
naomba mtu a like comment yangu
2026-08-06 22:34:35
5
kabea_knows :
kwa hiyo na sisi wakaka tuendelee kulala au et mtumishi
Mimi maombi ya usiku na ya asubuh kbla sijaongea na yoyote yamenitendea San
2026-08-06 10:18:39
5
laylux💥❣️ :
Aminh🥰🥰
2026-08-08 15:50:31
0
JULIETH BEAUTY SALOON💄 :
Ameeeen🙏
2026-08-05 08:30:38
0
#H4really.x.002 :
amen
2026-08-08 18:21:19
0
🌿Miss💚 me☘️ :
Amina 🙏
2026-08-05 16:01:54
0
Elizabeth Paschal :
barikiwa san
2026-08-05 10:16:51
1
mamicreation :
kama mtu una matatzo we amk omba hata usipofunga ila omba kwa iman nakwakumaanisha
2026-08-07 17:51:13
1
user97166716540 :
cc wenye kaz za uck kila ck saa9 tupo kazn😳😳😳
2026-08-06 08:44:58
1
EDEN_ BEAUTY :
Ukisha maliza kuomba hayo maombi usisahau kuambatanisha na IMANI maana Imani ndio jibu lako sio kile unachoomba nd kinakupa makini Bali kile unacho kiamini.
2026-08-06 13:15:54
3
EDEN_ BEAUTY :
MUNGU alimwambia Ibrahim Atamfanya kuwa taifa kubwa na atampa Mtoto lakin ilipita takriban miaka10 bila hiyo Ahadi kutimia, sio kwamba Mungu alikwa amesahau alichokisema La hasha maana Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo bali alitaka kumpitisha Ibrahim katika uzoefu wa imani yake kujaribiwa ili aweze kupokea kile Mungu alicho muahidi kumfanya kuwa taifa Kubwa, hata wewe unaeomba Mungu akufanye kuwa taifa kubwa you need to have patience, kwasababu great things takes time, na usisahau kuwa tunaomba si kama tupendavyo sisi bali mapenzi ya Mungu nd huwa yanatimizwa katika maisha yetu
2026-08-06 13:43:43
4
winnie💕 :
Amen
2026-08-06 08:38:33
1
Reine :
Amen 🙏
2026-08-05 06:57:03
2
Prisca Baltazar :
Amina
2026-08-06 09:50:23
0
ambrosemshanga1 :
Huo
2026-08-10 12:57:33
0
ambrosemshanga1 :
Huo wimbo Kaimba nani jaman
2026-08-10 12:57:45
0
Naomi Basil :
Amen
2026-08-09 11:51:41
0
Kamanda wa YESU :
Amina 🙏
2026-08-09 06:29:59
0
hidaya hidaya :
ameen
2026-08-08 12:29:55
0
Milly Said :
ameen
2026-08-04 20:07:10
0
To see more videos from user @kessylie_attires, please go to the Tikwm
homepage.