@jacky.g75: Ila me nae mpka wanipigee 🤣🤣

Official Linny ❤️💫🫂
Official Linny ❤️💫🫂
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 13:13:05 GMT
79964
2568
155
88

Music

Download

Comments

evarist.eunice
EVARIST EUNICE :
kwishaaaa weweeeee😂😂😂😂😂
2026-08-05 13:53:18
0
peterngosha517
P. Ng'osha :
jamani acheni kurecord watu bila taarifa unakuta ni mke wa mtu unasababisha mauaji
2026-08-05 09:24:11
47
princessmary656
princessmary656 :
ila sifa ya mwanaume kutoa hela bhn
2026-08-04 14:29:11
46
rosety.fabian
rosety :
yaan mm nikiji kungundua mtu kanirecord bila taarifa nakufungulia kesi yaan utajuta walahi maan unaona sifa sikuhizi
2026-08-05 13:18:37
4
emma54632144
@Emma.29 :
goodbye
2026-08-05 04:19:55
0
user2583034211461
Diana 🦋❣️ :
ila wasukuma😂😂😂
2026-08-04 19:30:07
6
mwashegeshi.comed
mwashegeshi comedy🇹🇿🌍🇰🇪🤣 :
alafu jomba ikawa mke wa mtu unisaidia kujibu
2026-08-05 05:04:28
12
vicvictoria99
Victoria kibibi :
utapigwa we subiri😁
2026-08-04 19:06:54
6
seza.j
Seza J :
Hapo mbele naona Kivumbi lodge😂😂😂😂
2026-08-05 07:46:04
4
rashid.juma108
RASHID JUMA :
Kivumbi Lodge
2026-08-05 10:21:30
1
mamy.boy3195
ℝ𝕒𝕔𝕙𝕖𝕝💘 :
nashukuru kwa kunidhalilisha🤣🤣🤣 uldhan staona
2026-08-04 21:11:06
3
mama.d1789
Mama D. :
Kwanza hajuh kama wapo uku mjini TikTok
2026-08-04 19:31:30
7
yohanamadaha2
user2873790543099 :
dah alafu nikalibu na lodge inaitwa kivumbi lodge angalieni vizuri hapo juu hahhahah!
2026-08-05 07:17:30
1
magretha22
magreth @✍️ :
unadhambi wew😂😂😂😂
2026-08-04 18:36:24
2
happy69535
miss happy :
hivi wanajua kuwa wemefika mpka nch jiran😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-05 06:43:48
1
user8619663865492
user8619663865492 :
wasukuma tujuane
2026-08-05 06:05:29
2
monique89147
Monique :
jamani saivi kaeni makini unaweza kujikuta mjini TikTok bila kutarajia
2026-08-05 07:32:04
5
user7618746192056
J tz :
Bora Ata yeye kapewa mm Sijawah kupewa 😁😁😁😁😁
2026-08-05 06:33:00
1
user9103101706215
Happy🙏🙏🙏 :
mapenzi ya kwenye mihogo mpaka sasa sijui log jaman nachoka mm
2026-08-04 20:49:26
2
user8500013907353
Irene kafem :
mtu Asipew ela ya matumiz jamn
2026-08-04 18:48:55
1
user1583014161449
shamilah🥰 :
ao ni mke na mme kabisa
2026-08-04 18:40:15
2
asimwe373
D :
Mwanaume wa maana kbc😁🥰🥰
2026-08-04 20:05:24
0
estermtawali2
ester ❤️👌 :
najua fulaha yangu ni TikTok 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-04 18:46:07
1
user671747549160
Ideni kakulu sadock :
mke wangu ananichiti kumbe atanieleza tu 😡😡
2026-08-05 13:19:34
0
To see more videos from user @jacky.g75, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About