@iycsigntv: Kungwi aomba radhi kwa wana nchi kutoka na maneno ya kejeli aliyo yasema mitandaoni Muusika: kungwi 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 04 August 2026 13:21:16 GMT
120341
4251
363
132

Music

Download

Comments

sarahstanleymbiu
Sarah Stanley Mbiu :
Riyama, uncle T, jackline wolper wamekukanda swafiiii sanaaaah
2026-08-04 14:24:40
0
emmy67348
Emmy Da Qute❤️ :
Ahsante Liyama ally kwakusimamia show maana bila hivyo asingeomba msamaha
2026-08-04 13:29:42
229
faustinelydia
Lydia2003 :
lakini mbona ulisema ukweli
2026-08-04 14:30:20
30
salmaminja3
salma minja :
muombe wema msamaha sio sisi
2026-08-04 15:19:52
82
maureennjeri674
Maureen Njeri :
about time, women should stand together no matter the platform..
2026-08-04 16:37:01
1
zena.juma58
Zena Juma :
muombe wema msamaha
2026-08-04 14:05:24
87
zaytooni.juma
Zaytooni juma :
hovyoooo
2026-08-04 19:05:25
0
dec.bushiri
Dec Bushiri :
sisi wanawake ambao tukitoka Leba tunafikia kufua ulitufanya tujione hatupo duniani
2026-08-04 15:00:44
14
muna_love16
Muna Love ♡︎ :
Eti content ?
2026-08-04 14:29:40
0
tatu.nassoro
Tatu Nassoro :
Hovyoooooo
2026-08-04 16:57:26
1
roselah34
روزيليا :
jamani muungwana akiomba msamaha anastahili kusamehewa
2026-08-04 14:04:44
64
aishalove905
aisha love :
ushaongea umbea tu muombe msamaha wema
2026-08-04 15:36:52
6
uminjula
uminjula :
asante
2026-08-04 15:24:56
0
merryomegablassna
Merry omega Blass nandy :
umekeraaaaaaa bwana 😭
2026-08-04 14:37:58
7
amina.ulanga
Amina Ulanga :
hata mim uliniudhi nashukuru nimekusameee
2026-08-04 13:56:11
13
zeeshirash
ummu Abdulrahman :
watoto wangu wazuri watoto wangu wazuri kwio,muombe tu wema msamaha
2026-08-04 14:34:43
10
theman_422
Traveler Man :
Tuma video nyengine yakumuomba wema msamaha
2026-08-04 15:36:41
7
cutescolatz
Official Dj scola Tz🇹🇿 :
Lakn si uliongea ukwel unaomba radhi ya nn sasa
2026-08-04 15:59:40
6
muna_love16
Muna Love ♡︎ :
Usikubali waandishi wa habari wakutumie kama content
2026-08-04 14:31:19
11
sweetney03
Sweet ney :
Unafk tu me nimejifungua asubh jion nimeingia kazin nilikuwa na mteja uyo wema mbona Kawaida San
2026-08-04 14:06:01
31
amainapillowcover
Aaayan Omary :
kilichokufanya useme hivyo ni nini
2026-08-04 17:07:46
6
dayana.mushy2
dayana mushy :
Kwan hiyo video inasemaj mtu anitumie😁😁😁
2026-08-04 13:54:43
19
wemaofficial21
wemaofficial21 :
Mbona mimi nilifanyiwa upasuwaji wiki 2 nikaanza kushiliki tendo na Mme wangu tena nilisafili kutoka bukoba adi kigoma sembuse wema hapo sasa kirabu nakesha 😂😂ila waja hapan 🙌
2026-08-04 21:04:16
0
chimamyinbox12
ummurayyan :
jamani tumsahe tu ikiwa Mungu tunamkosea na tukimuomba anatusamehe sebuse sie tumsamehe tu
2026-08-04 15:00:39
0
dadida61
H. Squre💗💗💗 :
kwann mufananishe watu kuhusu kujifungua kila mtu anaumwa uchungu kwa staili yake hata ukijifungua watoto watano kila mtoto anakuja kivyake
2026-08-04 18:41:23
4
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About