@minobongo25: Mwanadada Mfanya Biashara maarufu wa Suti Kariakoo @Mariam suti akifunguka Jinsi mume wake donfeza alivyochangia kihasi kikubwa kumsaidia kusimama kama mfanya biashara kijana aliyeaminiwa na watu wengi Afrika Mashariki.

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 13:53:05 GMT
87243
2472
42
261

Music

Download

Comments

chimoo665
chimoo :
hyu wng ananipa 20 nianze mitaji jmn
2026-08-04 15:34:08
21
hildakayun0
hildakayun0 :
Mimi nmeelewa point kwamba apewi stress so inamfanya afanye Kaz kwa aman
2026-08-05 05:34:24
6
fuyeblaq5
👊It's....... FUYE BLAQ...🦍 :
Kumbe kuna watu wanaweza kulipa deni la Taifa
2026-08-04 15:13:42
38
scholamarco
baby j♥️♥️ :
Mume wang natft mke km Huy sas😂
2026-08-04 15:46:23
10
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
mungu akiamua kukupa anakup mume asiye kup stress n mke asiye mpa stress mumewe
2026-08-05 06:07:45
3
zainahothman697
Zainah Othman :
hongera
2026-08-04 16:56:16
0
evodia.1
evodiah :
ukimsikiliza bila makasiriko utamwelewa anaujumbe mzuri
2026-08-04 18:29:30
9
martha_happy76
Martha H😋 :
mume akifanya mambo kwa usahihi apewe mauwa yake anukie🥰🥰🥰
2026-08-04 20:03:34
8
maysara25gmail.c0
Maysara25@Vijora pambe 🥰 :
cjui ni mtag kipengele wang aje aone😁
2026-08-05 08:30:33
0
lizzytz2557
lizzytz2557 :
Mumewe hataki mke
2026-08-04 15:27:35
1
madama_juice
MADAM JUICE :
Wooow nampenda saana huyu dada anaroho nzuri alikuwa mteja wangu nzuri wa juice ntakuja cku kukuungisha ngoja nipate pesa mumy
2026-08-04 16:23:13
6
naomibfblkf
naomibfblkf :
Nakukubali mdogo wangu love
2026-08-04 16:30:41
2
deetronicstore
Miss Dee🥇 :
2026-08-05 03:18:54
0
aggy70444
Aggy Ar :
mume mwenyewe sasa🤔
2026-08-04 19:29:41
0
mariamcharles65
@@mariamcharles65 :
hongera dada angu 🥰🥰
2026-08-04 14:53:50
0
da.miner5
✨️Kℹ️🅿️£🅿️£🅾️✨️ :
heee mke wake sihuyu jmni
2026-08-04 15:42:04
0
kidoti7850
kidoti :
Unamjua mzee unyango na michepuko yake
2026-08-04 18:42:14
0
tynest56
fine as wine :
2026-08-04 18:17:07
0
fathoya.iddi
Fat'hiya Iddy :
hivi ni mm tu na dada zangu wabaya hatupati wanaume wa maaana na kuna familia nyengine uko kama ina laaana😌🙏
2026-08-05 05:49:41
0
user8072239970245
user8072239970245 :
😂 jmn jmn habari haifanyiwi editing? kwa kihasi kikubwa kweli?
2026-08-04 16:45:14
0
tzbelieves5
BELIEVE SANG 🎯ABSK⏱️💸💸💸 :
2026-08-04 19:16:15
0
agnesskileo
Agness Kileo199 :
😂😂😂
2026-08-04 15:38:45
1
mrs.willson4
Tekla :
🥰🥰🥰
2026-08-04 15:06:33
0
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About