@iconglobal8: Je nikweli kwamba Michelle Obama alizaliwa mwanaume kabla ya kubadili jinsia? wapo wanaoamini nadharia hii hudai kwamba Michelle Obama hakuzaliwa mwanamke, bali alikuwa mwanaume aliyeitwa Michael kabla ya kubadilisha mwonekano wake na kuwa mwanamke. Lakini madai haya hayajawahi kuthibitishwa na ushahidi wa kuaminika. Wanaosambaza nadharia hii hutumia hoja kadhaa wanadai kuwa jina la zamani la Michelle lilikuwa Michael, ingawa hakuna rekodi rasmi inayothibitisha hilo. Wengine hudai kuwa mama yake, Marian Robinson, aliwahi kutumia jina "Michael" kwenye moja nyaraka fulani za urithi. Hoja nyingine inayotajwa ni kwamba Michelle hakuwahi kuweka wazi safari yake ya ujauzito wakati alipowapata watoto wake wawili, Malia na Sasha. Wanaoamini nadharia hiyo hutumia hilo kama sababu ya kuhoji kwanini hakuna ushaidi wa hatua za ujauzito wake. Pia, baadhi ya watu walihusisha kifo cha mchekeshaji Joan Rivers mwaka 2014 na madai hayo, wakidai alinyamazishwa kwakupewa sumu sababu ya utani aliowahi kufanya kuhusu Obama na Michelle kwamba Obama alikua ameoa mwanaume na si mwanamke kama watu walivyodhani. Mpaka leo, hakuna ushahidi wa kuaminika unaothibitisha kwamba Michelle Obama alizaliwa mwanaume. Madai haya yameendelea kusambaa kama nadharia ya njama inayohusisha watu maarufu na siasa nchini Marekani.#tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #viralvideo #congolaise🇨🇩
ICON GLOBAL
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 14:58:22 GMT
Music
Download
Comments
Sam :
G improve on quality utaenda mbali
2026-08-04 21:07:30
1
To see more videos from user @iconglobal8, please go to the Tikwm
homepage.