@ms.naah0: #CBE #naah a normal day in college of business administration karibuni pia @Deone

Naah🦋
Naah🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 14:59:22 GMT
8742
454
90
28

Music

Download

Comments

me.naah4
Tem@siah💫💫 :
pole mway m nlikaa apo npndshiwe coursework kma wiki mbili😅😅
2026-08-05 19:44:56
0
rah_debbie
🦋𝐑𝐀𝐇_𝐃𝐄𝐁𝐁𝐈𝐄💕 :
Poleee babe❤️
2026-08-05 07:24:10
1
suzy89865
lily 💞 :
cbe 🙌😢
2026-08-05 06:15:28
9
ashphayner
🦋ashphayner❤✅ :
[Sticker] mimi hamu sina 😅 mana HOD mpk anakukalili😂
2026-08-06 10:20:12
1
deemomki07_urembopoint
𝕕𝕖e_Heroine🥷🌹 :
unasain kwenye mkeka unacoz work ukija coasis uko na failed😅🤣🤣nachoka sana nashindwa kuelewa
2026-08-05 11:38:42
4
_.roxyb
_.roxyb :
Me nishakata n tamaaa Ntafanya speacial tu n hapo kupostpone nayo inasumbua
2026-08-05 15:17:30
6
turyanyimike
tury😍 :
kila nikimwambia baba angu matokea hayajapanda hanielew😀😀ila SIBIII
2026-08-05 08:30:52
3
mamas1stborn0
Isack Mahela :
Sina hamu na hilo baraza na ushuhuda nalo🙌🏻
2026-08-06 10:07:27
2
19.mehek1
♍️Mehek🎀 :
SIBII😁😁😁
2026-08-04 15:22:27
1
it_aint_my_fault4
Scripted Tales :
daah mpka leo matatizo ya Cosisi hayaishi tu. nimepita hapo mwaka 2023 kuna muda nlikaribia kuacha chuo kisa matokeo hayaonekani.
2026-08-05 11:19:32
4
ms_irene23
ms _ irene🦋 :
mim matokeo yangu hayaonekani nachoka mim 😅😅😅😅
2026-08-06 06:33:53
1
123jm21
J phone and accessories :
na utafaulu tu mdogo wangu ❤️genius wetu
2026-08-04 20:53:07
4
t_yner23
tyner_23 :
CBE Hapan Jamn🙌🏾
2026-08-05 15:39:03
2
miss.paul12
Mirabel- paul❤️ :
Nimeingia kweny mtihan jan limebak sa 1:30 cbe achan nao😂
2026-08-05 09:37:19
2
ethan_haonga_0
Ethan :
apo idaran Pana kera sna aisee tangu 2022 nimemaliza apo shida ni hiyo hiyo😎
2026-08-05 17:55:33
1
me210099
🤩me :
kikubwa mtihani utafanya system za Cbe mbovu sana
2026-08-05 06:55:00
3
_myne15
myne❤️ :
si juzi tulianza mtihani saa 12
2026-08-05 08:33:53
1
geny7346
Geny💖 :
😂😂😂😂 hich chuo jau jaman poleere
2026-08-05 13:29:53
0
adolfissah
Deone :
kwisha wewe😅😅
2026-08-04 20:25:59
1
hidy384
AyaLush🌺 :
Mh mbn Kuna watu wanafanya mitihan na ada hazijapanda na ada pia hawajalipa bado
2026-08-05 16:25:38
0
To see more videos from user @ms.naah0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About