@joycechidodotz: Mwl kasema 😀Duh! Mwl Mwakasege 🇹🇿❤️ #sermonclip #mwakasegeteachings

Joyce chidodo
Joyce chidodo
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 04 August 2026 15:03:39 GMT
18117
1595
11
210

Music

Download

Comments

tegemea.reuben
Tegemeo la Africa :
powerful 💪💫
2026-08-04 21:31:27
0
neyglorycake_andcatering
NEYGLORY SWEET CAKES :
Huyu Baba 🙌 YESU amtunzeee Natamani sana tukakutane mbinguni kw Baba siku akija kutwaa kanisa lake
2026-08-04 18:54:50
5
hellen.fliakos
Hellen Fliakos :
Kweli mtumishi wa Mungu usemavyo; Mimi mme wangu Mungu kamokoa baada ya miaka kumi sasa Mungu kamuokoa utukufu kwa Mungu pekee :Ninapolia na kuomba Mungu amokoe Mungu aliniambia hivi; kwangu yote yanawezekana wewe amin tu:baada ya Mungu kuniambia hivyo akaokoka siwezi kusahau lile neno Mungu aliloniambia
2026-08-04 19:37:53
2
jajila.backup
JAJILA BACKUP✝️ :
huyu mmemuona 😂😂
2026-08-04 19:49:35
0
eunice.mollel8
Eunice Mollel :
Amen. Yesu nisaidie
2026-08-04 17:38:38
1
manyamahawa
Eng H :
Msitishe watu. Biblia inasema mwanaume kumuangalia mke asie wake. If that man hawez tumia hekima yake kama mme na kuongea kiuwaz namna ya kuwa na ndoa takatifu yenye upendo, amani, uvumilivu haitawezekana. Kila mtu anajukumu la kushika amri za Mungu, na kutumikia wito wa ndoa. Huo udhaifu wa tamaa anatakiwa amuite roho mtakatifu amasaidie aitoe hyo tamaa.
2026-08-04 17:50:02
1
grey.tiny_accessories
grey.tiny_accessories :
UweponiMwakoNikaeBwana
2026-08-04 17:04:28
2
isabella.luzigija
Isabella Luzigija :
eeh mwenyezi mungu tusaidie
2026-08-04 20:40:15
1
hellen.fliakos
Hellen Fliakos :
Ameni asante kwa neno la mungu zuri la kututia moyo mtumishi wa Mungu
2026-08-04 19:38:59
1
linaenterprises26
Lina Enterprises :
amina
2026-08-04 23:06:41
0
To see more videos from user @joycechidodotz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About