@mt_rita_wa_kashia: NOVENA YA MT RITA WA KASHIA SIKU YA PILI #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #mtritawakashia #tiktoklive #livehighlights

mt_rita_wa_kashia
mt_rita_wa_kashia
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 04 August 2026 15:59:52 GMT
5923
456
60
23

Music

Download

Comments

rosmary.john
Rosmary John :
Amena ubarikiwe kaka
2026-08-04 16:55:51
1
serenity_christ255
Serenity ✨ :
Amen 🙏 Tukutane Day 3 🥰
2026-08-04 16:53:12
1
lukad547
lukad Akyoo :
Mbn aingii live
2026-08-04 18:03:59
2
scolasticaluamban
Siko de twins 🦚 :
kwamfano sijaweza kusari saa3 nikasari saa5 usiku kwahyo naleo naweza kusari saa5 Tena au?
2026-08-04 17:01:38
2
curioiskid2025
will.i.am :
Milele na milele Amina
2026-08-05 06:23:24
0
patricknjoroge785
Patrick Njoroge785 :
Shukran
2026-08-04 18:26:09
0
triple.g84
triple G :
nikianza leo mli0oqnzia nikajq kuunganisha leo siku ya 3 je ni sawa?
2026-08-05 14:53:26
0
retisia.msigala
RETISIA MSIGALA :
Amina 🙏 🙏
2026-08-04 16:33:55
1
officialyvonne1
Officialyvonne☑️ :
🙏 🙏Amina
2026-08-04 18:28:59
0
user2338751548380
Danache :
ubarikiwe sana kaka Mungu anisaidie nimalize novena yangu vizuri
2026-08-05 06:18:05
0
user80525519636862
court of beauty_tz :
jmn natafuta live ya siku ya pili siipati
2026-08-04 18:02:43
0
sam217298
Sam :
Amina
2026-08-04 16:31:48
1
light_1577
🦋🦋finest_gal🦋🦋 :
ubarikiwe sanaa🙏
2026-08-04 16:42:02
1
normal.person53
Dr Zawadi :
Salini tuu wapendwa hata yy ni binadamu anachangamoto pia msiache kusali sababu ya kutokuingia kweke live
2026-08-04 20:04:17
1
user25545323700062
Salome sanga :
barikiwa sana kaka asante kwaibada takatifu🙏🙏🙏
2026-08-04 19:15:51
0
patricknjoroge785
Patrick Njoroge785 :
AMINA
2026-08-05 01:07:56
0
user2338751548380
Danache :
leo nimeota ndoto Mume wangu anamahusiano na Binti wangu wa kazi nawauliza wananiambia ndo hivyo mume wangu ananijibu nikiwa nje nacheka nikirudi ndani hakuna Amani Binti wakazi yupo tuu kimya tena chumbani kwangu nimelia sana nlilipogundua ni ndoto nimemshukuru Mungu ili nilete hapa na kuomba Kwa maombezi ya Mt Rita jambo hili lisije wahi kutokeka katika jina la Yesu ameen
2026-08-05 06:23:10
0
delly3457
delly :
Amina
2026-08-04 16:56:05
1
user86293149409085
@fayz💕 :
Amina 🙏🙏
2026-08-05 17:00:08
0
lissa_palmer
𝔩𝔦𝔩_ 𝔭𝔞𝔩𝔪𝔢𝔯_🌴 :
Amina
2026-08-05 12:05:09
0
triple.g84
triple G :
na je maombi unayoombq ni yaleyale au natakiwa kubadilisha?
2026-08-05 14:53:43
0
geez2123
Garlix :
Mt.Rita wa kashia utuombee
2026-08-04 18:44:45
0
patricknjoroge785
Patrick Njoroge785 :
milele Amina
2026-08-04 18:25:25
0
bellacluez_1
Isabella 🦋 :
Milele Amina 🙏
2026-08-04 18:24:49
0
christonciamgmail.com
christonciamgmail.com :
Amina
2026-08-04 16:58:54
1
To see more videos from user @mt_rita_wa_kashia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About