@felidae_brand: Ben Tennyson alitambulishwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005, wakati mfululizo wa kwanza wa Ben 10 ulipoanza kurushwa. Tangu hapo, amekuwa mmoja wa wahusika maarufu zaidi wa katuni duniani. #foryoupage #tanzania #swahili #fyp #ben10

Felidae
Felidae
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 16:14:30 GMT
26885
2077
217
291

Music

Download

Comments

iam_abubakary
Abubakary :
December 27 2005 I remember like it was yesterday
2026-08-04 16:23:42
5
mamajessy
vegalicious :
tuzikumbuke ben 10 , jorge of the jungle , robot boy, john bravo , the puff power of babby girls, scooby doo, showder n.k 😂😂😂😂😂
2026-08-05 15:17:12
30
p.i.e.r.r.e.253
Pierre :
usisahau ed edd and eddy
2026-08-05 13:51:04
37
tweny.two7
tweny two :
mungu ibariki chanel ten maana wao walikua wanatuburudisha kwa katuni hizi kwa muda ule wazazi wetu wasingeweza kulipia dstv
2026-08-05 08:55:57
141
abby_treezy17
Abby_treezy :
childhood was awesome
2026-08-04 19:52:18
0
johnmrossor
chande el poper :
cartoons network
2026-08-05 19:44:09
0
simonfoya54
Rackhams5🐾 :
long kinyamaa, baada ya apo mkuu tupigie SAMURAI JACK🔥
2026-08-05 09:19:52
21
alvan_komba
️A L V A N :
BAKUGAN vipiii😁
2026-08-05 17:41:31
6
paschalpastory97
paschalpastory :
Jumba la Burudani hapa 😂😂
2026-08-05 19:15:58
11
joh__dn
Joh__dn :
back in days duh🔥🔥
2026-08-04 16:38:23
2
erictraveller_
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮𝐫𝐞🇹🇿🥷 :
Hapo Channel Ten
2026-08-05 10:24:13
2
belive_inyourself5
The504💦 :
Nili nunuwa mpaka saa ili niwe goro lakini wapi
2026-08-05 12:50:06
8
luu_nin0
D@tty💦 :
channel ten saa 10 mida yetuuu na ile scoobidubidu saa mbili marichui startv🤣🤣
2026-08-05 17:56:53
5
fredvingeopetcals
Fredrick Kelvin George (TTall) :
Ben Acha tu, saa 10 jioni mapema....!!🤣🤣🤣🤣 channel 10😅😅😅
2026-08-05 19:36:58
5
pineapple.pie32
Upendo butcher :
Yaan boys ilikua ni ufutio,kompasi,stika,penseli na mabegi ya Ben10 na wasichana ilikua Barbie girl 😂😂
2026-08-05 18:22:32
5
ummy_punch3
Ummyraty-punch💕 :
Mangazoni😂😂😂🔥
2026-08-05 17:15:14
1
mickyplanmaker
Micky Planmaker :
Tu tu tu tu Dora
2026-08-05 15:35:13
0
paschalpastory97
paschalpastory :
Bila kumsahau mwanangu Sana 😂
2026-08-05 19:15:40
9
zuriiii12333
Zuri :
Bila kusahau John Bravo
2026-08-05 21:00:56
0
w4pekee
Just Me :
namkumbuka jamaa yangu Adam, sjui yuko wapi tulikuwa machizi ben 10. Tulikuwa tunashindana hadi kuchora hao Aliens daah..
2026-08-05 20:11:09
4
__beatrice2
Bee martie :
Ed Ed Eddy 🥳
2026-08-05 19:41:36
3
kizo.jr6
Broken heat 💔 :
kitambo ikoooo akuna kingamuz
2026-08-05 07:28:50
2
mrsino690
mr lamba lamba kwa chuma😍😍 :
ben ten mpaka biskuti zake napenda adileo na nina mtoto 1 hahahaha
2026-08-05 13:06:33
2
To see more videos from user @felidae_brand, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About