aisee nimeipenda am stimulated in spirit uko vizuri😊😊
2026-09-29 06:24:00
6
Queen Isack :
ILA MUSHIII AMEONA APATE UHAKIKA WA NAURI KWANZAA HATAKI UTANI[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 07:59:16
1
Misstukuyu :
🤣🤣🤣 apo kwenye nauli shirima ametaka uwakika
2026-08-04 21:14:28
1761
@sopheryer💕 :
yooooh!!! brother you make the heaven so proud....Mungu akutunze mnomno. Kazi yako ni njema mno
team osborn🥰🥰
2026-09-28 04:13:04
1
Derike :
Ameeen and ameeen 🙏🙏🙏
2026-09-28 23:20:07
1
ms Orion 🥰 :
congratulations 👏 broo
2026-09-28 20:35:16
0
favour~minah Augustin :
That Man above sir is proud of you bro🙌
2026-09-28 23:06:34
0
Nasrah Sanga :
kabla hujaendelea mlete dereva umueleze hicho kitu😂😂😔
2026-08-19 12:00:08
483
mariamcollectionArusha :
Hongera Mtoto mzurii ,Mungu akutunze 🙏
2026-08-05 05:00:24
1061
Mery mems :
muonekano wayesu ongea yake yayesu hekima na busara yakimbingun kuna wazazi wamebarikiwa vijana wakimbinguni mbingun
2026-08-05 12:44:46
527
ms_carren :
hakika mungu afiche maisha yako kwa kuineza injili ya bwana
2026-08-04 18:19:46
380
Freddy Designer :
daaah naumia kuona Mimi simfanyii MUNGU chochote natamani nieneze injili
2026-09-01 05:00:09
183
Jorvin@👑 :
good confidence 👏 God bless you bro🙏
2026-08-04 17:52:45
129
ndosilove :
Mungu akuinue kijana , una hekima ya ajabu sana
2026-08-05 13:46:28
214
UshindiJudith :
Ametoa rushwa kwanza hili nwatu wamsikilize, mimi ningewaomba tu kwa heshima na ningezungumza nao na wapo wangepokea neno na wangelifanyia kazi
2026-09-03 17:46:35
7
Trezzy volar.official :
natman siku moja mungu anipe kibali nifanye kusudi lakee...kaka barikiw sana
2026-09-28 15:03:27
7
annaexaud :
kwenye nauli mzee ataki utani
2026-09-03 18:06:16
7
ommy_ set :
Mungu akubariki saana
2026-08-05 07:31:05
5
Amo Lovejr :
mungu akubaliki kaka na akutie nguvu🙏🙏
2026-09-11 16:21:07
8
@miss_ree🌸 :
Mungu ni mwema sana jaman🙏🙏
2026-09-10 21:23:48
7
ms bby 💓 :
mungu anipe mme kama wewe jamani nitatoa fungu la kumi 🥰
2026-08-15 19:50:32
8
LUCKY :
Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi unayofanya
2026-09-14 20:28:48
5
Minah medics💉💊 :
una sauti nzur sana
2026-09-04 05:44:39
13
mwho :
waoooooh kijana mdogo kumtangaza Yesu kristo ❤️❤️❤️sifa na utukufu kwa Mungu aliyehai
2026-08-30 19:47:10
8
bigsam :
mdogoangu MUNGU kauweke mbali na konyangi na mbuzi wa kuchoma
2026-09-12 11:17:23
16
To see more videos from user @iamlordrick_, please go to the Tikwm
homepage.