siku hizi jezi ya Yanga inapendwa had na vinyesi fc
2026-08-04 19:10:04
33
MASUMBUKO MWANGA :
wanaokutuma wanakudanganya
2026-08-04 17:14:48
4
yas nampenda :
tunapenda mashabik Kam ninyi wasem ukwel daa
2026-08-05 17:36:35
4
yawanga kidd :
kwaiyo
2026-08-04 19:08:56
3
Nbs :
Bongo hakuna refa bro
2026-08-04 20:57:09
10
sabaya simell5gmail.com2 :
kwakwel kaka uwaga unaongeaga ukweli kabisa we ndio mshabiki bhan
2026-08-04 21:52:19
5
mr Damian :
simba wanalifira hili nini
2026-08-05 09:33:43
1
William Lucasmorris :
tuonyeshe na za yanga pia usipendelee upande mmoja
2026-08-05 08:03:18
3
Jeremiah Mabeche :
hii league inamarefaliii viraza
2026-08-04 20:07:19
1
mnufaika :
dar sahihi kabisa
2026-08-05 10:23:09
2
Fashford queen 👑👑👑 :
yanga ni Tim ya serikali kaka hatuwezi kuwashinda sababu wanatushinda nje ya uwanja we fikiria
1.samia ni yanga
2. kikwete yanga
3.rizwani kikwete yanga
4. waziri mkuu
sasa tunatoboaje hapo maana tukiwafunga tutadhalilisha taifa 🤣
2026-08-05 13:46:44
5
Abuu baiya biladen :
Haaa kwa wanaojuw hiiy ish tu naangaliy tuu ila ndo ivyo
2026-08-06 10:54:44
2
Metodi kalinga Metodi :
wanao sema mwakani tenaa tujuane
2026-08-04 19:38:08
2
alkamo\1711 :
Kabisa kak
2026-08-04 23:39:02
1
MUDINHO²⁰ :
We chamba umbea lakn 2026/2027 Yanga bingwa💚💛💚💛💚💛
2026-08-04 18:52:29
0
hamis :
kaza sauti
2026-08-04 18:24:09
2
Rashidi Idi :
kk nikupongeza kwakusema ukwel
2026-08-06 15:38:21
0
Ezekia mahenge 💉💊 :
umelazimishwa kushabikia yanga
2026-08-06 18:14:17
0
Kelvin Ernest :
VAR ipo tukaangalie
2026-08-06 15:53:18
0
Measiam2 :
KWAKWELI NCHI HII HAKUNA MAREFA. MASHABIKI WA YANGA WANAJISIFIA SANA, ILA KWAKWELI WAWASHUKURU SANA MAREFA.
2026-08-06 16:28:53
0
Athumani Yusuph :
kaza sauti
2026-08-06 20:01:12
0
To see more videos from user @master.codie, please go to the Tikwm
homepage.