@frederic_actus: Cod: HUWEZI Miliki Musikiti Bila ku Miliki ma JINI , ma SHEHEIK wana elewa #tanzani #kenya #goma #TANZANIA #MAJINI @YOUNG SAYEED 🔷 @Upanga wa Radi @ @Francis ndacha GATIBA
Ni msiba mkubwa..na hawasikii wala hawaoni mambo mazito yaliyofichwa yanapofunuliwa.Tuwaombee tu ndugu hawa , ili MUNGU MWENYE ENZI YOTE AWAFUNGUE MACHO, NA KUWAONDOLEA PAZIA WALILOFUNIKWA NALO.,WASIIONE NURU AMBAYO NI YESU....KTK JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI ..AMINA..
2026-08-04 18:35:17
16
yahya G :
so mnaposema kanisani pepo toka kwa kuwakemea pepo huwa mnawafukuza pepo gani?
2026-08-05 13:29:09
15
Godifrey :
Wanaosema msikiti haumilikiwi na mtu,hiyo hati ya kiwanja inamilikiwa na nani?
2026-08-05 12:12:37
2
hassan kuchi :
Mimi ni muislamu na Nina swali swala Tano mbona Sina majini na Wala sijawai kuyaona majini
2026-08-06 18:04:50
5
(muga)²⁰¹⁴ :
hakuna mmiliki wa msikiti katika uislam. rudia quran
2026-08-05 03:26:07
25
JESUS THE WAY gogadi :
na huo ndy ukwl mtupu
2026-08-04 18:29:07
9
Imran Abbas :
Uzur hakuna mskiti unaomilikiwa na shehe misikit yote inamilikiwa na Mungu ndio mana ukienda msktin wakat wowote unakuta uko wazi.
2026-08-05 05:50:08
7
Yusuf kiptoo koech :
iyo ni uongo kabiza
2026-08-05 03:30:37
10
Nasra :
Kila mtu atachanganyikiwa Kwa wakati wake
2026-08-04 19:40:35
14
🤲Dicocs🔥❤️🔥 :
hakuna msikiti unamilikiwa na sheikh
2026-08-04 19:44:55
16
Mgomba Gari :
hapana si ukweli
2026-08-05 09:24:39
1
idrisa nikiyi :
hakuna shekh anomilik mskti
2026-08-05 00:12:11
7
Ramadhani Hussein :
kwanza dunia nzima hakuna shekhe anaemiliki msikiti,msikiti ni wa waislam wote ndugu msikiti sio kanisa, msikiti hauna mwenyewe umiliki uko wa makanisa hakuna kanisa ambalo sio mali ya mtu binafsi
2026-08-07 11:28:41
0
KALYX :
katika uislamu hakuna sheikh mwenye msikiti...msikiti NI ya mungu Tu.
2026-08-08 18:59:12
0
Kenlesh :
Endeleeni kutupa ukweli
2026-08-05 10:58:40
0
Fathers Seyo :
mbona yeye anajua vizuri kuhusu majini mimi muislam mbona sijui
2026-08-06 11:29:50
0
IbnAli005 :
ametumia andiko gani?
2026-08-06 10:41:58
0
حفظه الله :
ALLAAH ANASEMA: NAMI SIKUWAUMBA MAJINI NA WATU ILA WANIABUDU MIMI. Q:51:56
2026-08-08 09:23:16
0
. :
Majini ni Arabic version ya majitu (ogres) kwa hadithi zetu. Ni mythical creatures
2026-08-04 20:07:16
1
abuu abduli wahabi issa :
tupe ushahdi
2026-08-04 20:11:09
3
Faa097 :
mm naswali na nimeshika dini ninao majini 5000000 aje nimgeiye mmoja maan anaropokwa sana
2026-08-05 18:23:48
0
Urulain3 :
misikit Haina mmilik ni yauna ya waislam wote ..
2026-10-30 23:02:24
0
obakoo :
msikitu sio ya mtu ...
2026-08-05 02:38:29
1
shaametz :
kwanza msikiti sio Mali ya mtu Moja
2026-08-05 15:35:04
1
To see more videos from user @frederic_actus, please go to the Tikwm
homepage.