@biashara.kishua: Apo kwenye mwana kakua ndo nachoka miki😭😭

BIASHARA KISHUA
BIASHARA KISHUA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 17:35:18 GMT
71917
6480
336
917

Music

Download

Comments

reen..03
Miss Reen..🫶❤️🎀 :
Mwanaaaaaa 😂😂😂😂
2026-08-04 19:35:11
0
littlegirlyegeeyry
💕Anibae💕 :
Mimi adi wananijia ndotoni 😅😅
2026-08-04 19:34:33
47
mirable__3
Mirabel__ :
😂😂😂ungetuonyesha na style ya kucheza kwa huo wimbo😂
2026-08-04 18:50:25
134
r.e.i.n.a03
R.e.i.n.a :
Mimi Huyu ananifurahishaga saana😂😂
2026-08-04 18:19:09
58
cute.brinah
Brinah💞🌸 :
ila ww unanichekeshaga😂😂
2026-08-04 20:09:59
1
elialeonard171
blaze de' Carlos 316 :
mwana kakua 😁😁
2026-08-04 21:47:54
11
butterflydatgal1
Yoohfinegal❤️. :
You made my day🥰❤️
2026-08-04 20:29:34
2
jaywizy98
Jaywizy :
Pale kwenye Mwaanaaaah Kakuaaaa daah😂😂🔥
2026-08-04 19:10:00
19
sth_jojo
sth_jojo :
Sasa Cijui kakua sangapi 🤧
2026-08-04 17:41:12
30
zeneerahgal
zeneerahgal :
hujawahi kuacha mbavu zangu salama wew😂😂
2026-08-04 21:30:02
7
janethgodfrey667
~kidei~ :
me sijaelewa somo bhna ebu inuka unielekeze uku unacheza ndo ntaelewa😂
2026-08-04 20:40:39
12
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-08-04 22:53:02
1
To see more videos from user @biashara.kishua, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About