@zelott_big: Msanii #Zuchu ametoka rasmi Hospitali ikiwa ni siku chache tangu ajifungue mtoto wa kike na sasa ameelekea nyumbani kwake. Sasa wale Watu wa zawadi mtafute namna ya kwenda Nyumbani😃 #tanzaniantiktok🇹🇿 #diamondplatnumz #tiktoktrend #tiktokviral