@mwagito_tz:

MWAGITO
MWAGITO
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 18:06:52 GMT
211249
22448
573
716

Music

Download

Comments

dyran1213
Dyran😏12 :
Umenikumbush mbali sanaaaaa😂
2026-08-04 18:15:26
175
realhuda10
ᥫ᭡ 𝓗𝓾𝓭𝓪 ᥫ᭡ :
Ilaa mwagito
2026-08-05 10:37:18
0
efootballpro255
🇹🇿Miss e-football🇵🇹 :
huyu ni mm kabisaaaaaaaa 😂😂😂 afuh ukute nnakofuta hata Mimi sjaandika 🤣
2026-08-05 11:35:19
48
user582795295867
bala :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa🤣
2026-08-04 18:34:42
200
11deleusto03gwasa
11DeLeusto03Gwasa27🇹🇿🇷🇼😷 :
Hizo uniform mie hoi zik smart ilaaa 😅😅🙌🏻,,,but 1 ♥️Mwagito🤗😁
2026-08-05 00:58:10
1
user9841763123286
2 brothers :
alafu walikuwa wanarukiaa juu wasipofika
2026-08-04 19:11:10
110
user3704617159279
Daud 50% :
Apewe ballon d or
2026-08-05 17:54:44
1
irene.nassoro5
Irene Nassoro :
ila mwantobee duh au bas mwagito
2026-08-04 21:04:32
4
hasnashah251gmail.com
Black Mexican queen :
😂😂😂😂😂Ila mwagito ww
2026-08-05 21:06:01
0
cindydavid82
cindydavid511 :
mwangito😂😂😂😂
2026-08-04 19:33:56
2
jazillah_91
Zillah_Sally💰☑️🇹🇿 :
🤣🤣🤣🤣🤣 menikumbusha mbali wallah yaan mimi nilikua nakaa mbele nafuta naanzia chini kwenda juu🤣🤣🤣 ni mimi kabisa
2026-08-04 18:10:00
36
kingprincess32
king princess 👑 ❤️ :
huyu montress nakumbuka pale shule ya msingi😂😂daaah
2026-08-05 05:26:36
13
user23994159148806
Aneth :
alizabeth uyoo saivi anajiita lizz
2026-08-05 06:19:29
14
anee4400192327702
0fficially❤❤ Aneth :
mwagito unapenda kujiamulia mambo wewe😂😂😂
2026-08-05 09:57:41
9
binriyami
Bin Riyami :
ndio maana notes zang zilikuwa hazielewek ukifuta sijamaliza naunganisha utakapoanza 😂
2026-08-05 13:08:08
4
mariamzizih
Mariamzizih :
Dhuuuu.kitambo sanaa nimic hayo maishaa
2026-08-04 20:39:53
10
denirah3935
deborah black b😍 :
nilikua nakasilika yaan daftar nafunika
2026-08-05 18:51:02
0
qulthum38
lucky dee :
mm nilikuwa wananiudhi hawa watu😏😏😏
2026-08-05 11:28:36
2
user9932681701561
🦋Baby jey🥀🦋 :
umenikumbusha mbali wew Mwagito🤣nilikuw natabia hiy hiyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 15:13:34
1
deborajohn08
deborajohn341 :
🤣🤣 mm huyu
2026-08-05 05:08:17
2
nyevu.kenga
Nyevu Kenga :
yani walikuwa wananichukia kwahivyo mamb yang
2026-08-04 21:01:54
2
cathy_ncl
cathy_ncl :
Jaman nlkuaga nna kherehere lkja swala la kufuta ubao achen2 😂😂😂
2026-08-05 11:09:41
1
jacquilinenoah1
Therealjackieworldwide🌎 :
mwagito tungesoma na ww tungekuwa tushakupasua muda sana😂😂😂😂😂
2026-08-05 15:52:09
1
sakina.cute.123
sakina cute 123 :
montres tujuane hapa maana mimi kabisa nilikua ivo
2026-08-05 07:57:46
3
saidaty.omar
bint ommy🥰🥰 :
huyu ni mimi kabc tena nilikuw mfup naenda na kiti chng napanda nafuta 🤣🤣
2026-08-05 12:42:35
3
To see more videos from user @mwagito_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About