Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@leo.ab2: Eii madam😭😂 #fyp #foryou #foryoupage
Cozy🥶
Open In TikTok:
Region: GH
Tuesday 04 August 2026 18:30:04 GMT
954
169
1
56
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.58MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
To see more videos from user @leo.ab2, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
thanks YouTube and dolphin sat thanks for all the practice questions dolphin sat #sat #satprep #sattips #highschool #student
@anitta . . . . . . #anitta #anittacy #equilibrivm
#mensfashion#jeans#tiktokshop#fashiontiktok#OOTD
Miaka zaidi ya thelathini iliyopita, kijana mdogo kutoka Mbeya, hakuwa na majibu ya moja kwa moja kuhusu ndoto zake. Hakujua hatma ya maisha yake, lakini aliijua vizuri misingi ya juhudi na matumaini. Alikulia katika mazingira ya kawaida, yaliyogubikwa na changamoto nyingi. Joseph Mbilinyi, anayefahamika sana kwa majina ya kisanii kama Mr. II, Sugu, au 2-Proud, alianza kutafuta njia ya kutokea katika maisha akitumia silaha isiyokuwa ya kawaida kwa wakati huo Hiphop. Aliingia rasmi kwenye muziki mnamo 1990 akiwa shuleni, akisukumwa na msukumo kutoka kwa wasanii wa kimataifa kama Tupac Shakur, Ice Cube, na kundi la N.W.A. Alipoanza kutema mistari yake mitaani, wengi waliona ni ujana wa kupita. Lakini ndani ya miaka michache tu, sauti yake ilianza kusikika hadi vijijini jambo ambalo halikuwa la kawaida kwa muziki wa hiphop Tanzania wakati huo. Kwa ujumbe wake uliojaa uhalisia, ukigusa masuala kama rushwa, ukosefu wa haki, ukahaba wa watoto, na madhila ya mitaani, Sugu aligeuka kuwa sauti ya wasio na sauti. Lakini kabla ya umaarufu, maisha hayakuwa rahisi. Baada ya kumaliza kidato cha nne mwaka 1991, alimpoteza baba yake mwaka mmoja baadaye msiba uliomkuta akiwa kijana mdogo aliyekuwa bado hajajitambua kikamilifu. Ili kuishi, alijikuta akifanya kazi ya ulinzi katika kituo cha mafuta cha BP pale Mbagala, Dar es Salaam, kwa zaidi ya miaka minne. Akiwa mlinzi mchana, lakini usiku alikuwa mshairi wa mitaani. Ndipo jina la “BP” likazaliwa jina lililobeba fumbo la mlinzi aliyejaa ndoto kubwa kuliko sare aliyovaa. Baadaye akahamia Kinondoni, ambapo mzungu mmoja kutoka Marekani, Chicco, alimbatiza jina la 2Proud, kwa sababu ya tabia yake ya kujivunia kila hatua aliyopiga, hata ndogo. Huko Kinondoni, ndoto zilianza kuvaliwa sura ya kweli. Albamu yake ya kimataifa “Nje ya Bongo” ndiyo iliyomtoa kwenye chumba kimoja hadi kuwa msanii wa kwanza wa hiphop Tanzania kupata mafanikio ya kitaifa na kimataifa. Mwaka 2001 alishinda tuzo ya M-Net Best Male Artist kwa niaba ya Tanzania hatua iliyothibitisha kwamba hiphop haikuwa tena mchezo wa vijana bali harakati za kijamii. Amefanya maonyesho ndani na nje ya Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya (1996), na... TAZAMA MPAKA MWISHO
#CapCut #theamzingdigitalcicus #jax #edit
hết giờ làm việc rồi cỏ lúa bằng nhau, không có @ gì hết
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy