@khalidimagari:

Khalid magari
Khalid magari
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 18:30:16 GMT
77081
3814
314
214

Music

Download

Comments

mjukuut
bob :
teacher umesahau hand brake
2026-08-05 04:18:28
0
user58046751021481
0766247978 :
nimeelewa kidogo
2026-08-05 04:34:21
0
jimm0247
james :
thanks ticher
2026-08-04 19:32:54
0
revocatusbrudele
rb the one :
umesahau handbrek mkuu😁😁
2026-08-04 19:21:33
21
user3030914520534
Masunga Luhende :
thanks
2026-08-05 04:15:02
0
cos9nine
cos9nine :
kuendesha Nisha jua acha nitafute Hela za gari sasa😂
2026-08-04 20:11:59
44
draywadray
AFROking :
handbrake tajiri
2026-08-04 19:42:36
1
estarkuwe68
Estar Kuwe :
Nilivyotulia na kusikiliza kwa makini utadhan ilo gari ninalo jmn 🤣🤣ngoja ntafutie hela ntamiliki gari one day
2026-08-04 21:16:54
14
user4123074927487
Jesse :
umesababisha mke wang kaondoka na Gari na hatujui kaelekea wap mpaka sasa.
2026-08-05 02:46:54
6
barakabutati
Baraka Butati :
nimeelewa Ila nimekosea gari lakuendesha
2026-08-05 03:58:34
2
nicsoul8
De journalist :
😂mdogo wangu kakuskiliza kwa makini sana hii Gari ya mzee haiwezi kua salama akii
2026-08-04 21:41:30
4
1gee_tz
Gee :
siku ya kwanza unafundisha hadi kurudi nyuma, kozi ishakamilika iyo 😃
2026-08-05 04:34:36
0
user6397839246202
mkalamo tanga 45 :
Mwalim wangu Ali nambia kwanza kabisa Kabura sija anza kuendesha nikague gari kwanza
2026-08-05 02:59:29
2
mwakahabala
Mwakahabala :
Nimeeelewa, bado gari sasa!😂😂😂
2026-08-05 03:00:10
0
useditemsdar
Kogoty Used Items :
Darasa Huru Sema bado mm nakuombea Uje Dar maana Maarifa haya Ukiwa mjin ungeanzisha Shule
2026-08-04 20:26:47
7
elizaeliezer
licious2778 :
Kuna mimi ikishawaka naanza kutetemeka na mikono inalowa jasho🤣🤣
2026-08-04 19:49:17
1
tina.jojojuice02
Tinajojo :
Nimeshajua kuendesha nitafute gari sasa
2026-08-04 20:02:12
2
user6146059615193
brighton :
kaka mm kwanzia Leo nakufatili nitakufatili nijue kwann sijui kwendesha Gali mpaka nijue kwendesha Gali
2026-08-04 21:33:27
1
josephatjosephfat
That'sjoey67 :
asante kwa elimu hii kaka ubarikiwe
2026-08-04 21:18:53
1
_lenah_2
Hellen delights :
ww n mwalim mzur aki walah ukianzisha Mwenyez Mungu akutunze
2026-08-04 20:44:50
1
cheetahboy07
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
mtu wa maana kabisa
2026-08-05 04:47:23
0
katushabe5215
katushabe :
iyo manual au auto
2026-08-05 04:48:57
0
handsomejsaid2
HANDSOME J SAID :
uko vizur brooo
2026-08-05 04:49:53
0
user7343194935860
stephene marwa chacha :
nimeanza kuelewa
2026-08-05 04:49:14
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About