@mudyblack_: Jirani anataka lisemwalo liwe 😂 #trending #mudyblack

MUDYBLACK
MUDYBLACK
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 19:28:02 GMT
331105
33060
716
1167

Music

Download

Comments

amfrodi8
amfrodi :
snitch so mwana asee🤣🤣🤣
2026-08-06 17:18:29
0
babajesc
mr Mabeto :
😂😂😂kuhalibianatu
2026-08-06 14:25:24
0
shey.zee5
seyran :
kwan s ulisema leo hujajipanga 😅😅😅
2026-08-04 19:59:20
150
christopherheneri7
chriss jr :
marafiki kama hamisi ni asala tu
2026-08-05 20:25:04
37
hans_perez_
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
daah hivi hii mitaa mbona mimi spatagi😂😂
2026-08-05 10:03:24
57
baisanimjamo
Baisanimjamo :
😂who is this guy
2026-08-06 14:36:35
0
user9937591016979
Hassan haji :
next part
2026-08-06 11:39:56
0
bekemusiwale
Bekamu siwale :
asant kk😂😂😂😂😂😂
2026-08-05 07:21:22
1
amos.lugoma
Amos lugoma :
dogo jau sana
2026-08-05 08:12:48
26
mkoloni.aw
Mkoloni AW :
Mungu kama hela hunipi hata jirani wa hivi tu babaa 🤲🏾
2026-08-05 06:42:03
336
samwel.simkonda
Samwel Simkonda :
kazi Sina hata majirani wa hivi nakosa kweli 😭😭😭
2026-08-05 14:58:19
22
dogodady1
dogo dady :
kwani majirani wa hivi wapo mkoa gani?🤣🤣🤣
2026-08-05 18:34:59
16
othmangndaza5
Othmagndaza5 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 xant Mzee baba
2026-08-04 19:43:15
22
yusufumwakalinga
Yusufu Mwakalinga :
nashindwa kuwalewa
2026-08-05 05:35:38
9
artifgammy
Aⓡⓣⓘⓕ :
majirani kama hawa wanapatikana wapi kwa mfano
2026-08-05 06:17:25
23
golo.junior45
zulukifriahmadi :
hamisi katokea wapi kwani🤣🤣🤣
2026-08-06 06:42:50
9
hamisidadi926
Deluxe Dê :
nilikuwa na jirani yangu bhana hadi leo ndie mke wangu na mama watoto hvi hvi🤣🤣
2026-08-05 07:43:01
14
allyahmedi97
van magoli :
mungu n mm bs
2026-08-05 11:42:55
4
medysenior4
Medysenior4 :
Hamisi Jau
2026-08-05 07:39:20
6
user7359609458497
MICHAEL RAPHAEL :
hamisi jamani mbona unapenda kujiamulia mambo dakika za mwisho
2026-08-05 06:03:46
25
user4778188802405
aggy :
hvi had wanaume huwaa wanateseka na maneno ya mtaani au n ss tu😅
2026-08-06 06:01:50
8
angelbaetz
Angel Bae Tz :
Mimi na mpenz wangu tulianzaga ivo ivo
2026-08-04 22:10:42
14
brightnknk
Bright nk Nk :
hamisi hamisi hamisi nmekuita mara ngap 🤣🤣🤣
2026-08-05 05:30:02
17
fuzuhcaliphate388
Fuzuh Caliphate :
jirani Hawa munapat wapi
2026-08-05 06:18:45
5
use0706157492
HUSSEIN INTERIOR DESIGN :
pass kama hiyo bado unauliza kuhusu nini
2026-08-05 05:03:56
13
To see more videos from user @mudyblack_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About