@tz.trending: 🥹❤️ Jamani jamani! Hatimaye Zuchu amewasili nyumbani! 🏡🎉 Mama wa @diamondplatnumz amemkaribisha @officialzuchu nyumbani kwa upendo mkubwa baada ya kutoka hospitalini. 🥰💕 Ni wakati wa furaha kwa familia nzima huku wakimkaribisha mama na princess mpya nyumbani. Hongera sana Zuchu kwa hatua hii mpya ya maisha. Tunakuombea afya njema, nguvu na baraka tele katika safari ya malezi. Mungu aendelee kuibariki familia yenu. 👶🏽❤️🙏 Karibu nyumbani mama na princess! 🥳👑 #DiamondPlatnumz #Zuchu #MamaDangote #Wasafi #WCB :::