@eminence_drivingschool: 🚦Kila taa ya barabarani ina ujumbe unaoweza kuokoa maisha. Je, unaujua? Madereva wengi hukariri rangi za taa, lakini wachache wanaelewa maana yake kamili na namna sahihi ya kuzitumia katika mazingira tofauti ya barabarani. Katika somo hili, mwalimu wetu anakufafanulia kila kitu kwa lugha rahisi na kitaalamu. 💬 Swali: Ni kosa gani ambalo unaona madereva wengi hufanya wanapokutana na taa za barabarani? Tuandikie kwenye comments. 👇 Eminence Driving School"Center for Best Drivers"#creatorsearchinsights