jana usiku nilikua nawaza haya 😂😂kuna ndugu yangu huyo anavonifanyia kuna huyo ex pia nae anayake kazin kwangu mwenzangu nae anahangaika boss ampendee uwiii tusswali sanaa 😂
2026-08-05 06:25:33
3
swalha :
naakupenda saana kpz
2026-08-22 20:15:10
0
Ummukulthum Juma :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbe so pekeangu nnawenzangu tunaoongea na kucheka pekeetu 🤣🤣🤣🤣htr
2026-08-05 07:47:42
6
Maria Godwin :
jmn kweli esha
2026-08-05 08:14:22
1
mamashushushu :
wee Mungu atulinde
2026-08-05 09:29:22
1
Moyern :
NI KWELIIIIIIII KABISAAAAA
TUNAKUTANA NAYOOO YOOOOTE HAYOOO LKN MUNGU MKUBWA
ALLAH QAREEM
2026-08-05 09:28:42
4
vee Mtita❤️❤️ :
nakupenda sana
2026-08-09 22:02:51
0
The key of prayers :
true
2026-08-06 04:38:05
0
monamo💦💧 :
pole dada asee mungu akutangulie nakuombea asee
2026-08-06 18:47:32
0
zai love :
🤣Pole saan Dunia hii Allah ndy anajuwa kwkeli
2026-08-04 22:45:04
2
Aisha Babu :
kuna wasukuma,watanga,wanyamwezi,ofcn wamemroga boss wangu kawa tahila
2026-08-05 06:06:41
4
Mrs Mehboob Jaffer :
hakuna mganga hapo😂😂😂...
2026-08-05 13:10:28
1
Muya Snr :
Kuroga kupo ili ufanikiwe
2026-08-05 18:08:32
0
Mom Kylie :
Ndo zako zakutają ata deo ulimtaja😂😂😂😂wateje tu
2026-08-05 13:34:55
0
white lion 🦁 :
mwisho utajikuta hutaki kwenda huko kazini
2026-08-06 03:47:44
0
Dorin mnywiga :
kumbe Kuna logo lojo😂😂😂😂😂
2026-08-13 08:25:29
0
The key of prayers :
wafanyakaz waivyo wapoo
2026-08-06 04:37:02
0
Iysher🥰 :
kwahiyo hao wafanyakazi wote wanaroga kwa mganga mmoja mmmh
2026-08-30 21:34:32
0
Mama Twin's :
@mom 3G
2026-08-05 07:35:20
1
Ambonise Lwoga :
😳😳😳
2026-08-05 14:29:52
1
Val Val :
😂😂
2026-08-05 09:08:52
0
To see more videos from user @latwintz, please go to the Tikwm
homepage.