@ahmadimaliki1: sheikh walidi #islamicvedio #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #mawaidhayenyemanufaa👌 #oman🇴🇲

Ahmadi Maliki
Ahmadi Maliki
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 21:07:07 GMT
176046
19603
230
1012

Music

Download

Comments

user43069686103080
hbvg :
wanao mpenda shekhe huyu gonga like😁😆😆😆
2026-08-05 07:49:39
290
saady___
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
watu kama hawa ndio waliojaaliwa kujua sikuya kesho nnakufa allah awahifadhi wallah
2026-08-05 03:52:27
64
mgaya80
mgaya80 :
mufti mtarajiwa insha'allah
2026-08-06 13:03:31
14
thuraiya49
MAMU :
shekhe umeniona mimi nini maana nahukumiwa bila makosa mengine hata siyajui yameazia wapi hata nikijitetea hawaniamini inaniuma sana 😭😭😭
2026-08-05 19:15:27
19
user52031986661342
Lil xwai :
Bila hata yakumpekua m2 shekhe Hakuna binadam anaweza toa hukmu xahih so hairuhuxiw
2026-08-09 09:06:36
6
chande.dereva.wa.b
TRANSPORT ZANZIBAR" :
Kwa kila anaeamini kuwa shehe walid mawaiza yake ukiyasikiliza hata kama sio dini yako yanakufunza kitu ndani yake hemu tujuane like hapa 🙏
2026-08-09 11:06:53
14
tumba.salehe1
Tumba Salehe :
MIMI NAJIVUNIA SHEKH WALID
2026-08-07 19:28:57
10
mrsmolea
aurat molea :
jamn mm nafrai xan nikikutn na mawaidha ya uyu xhekh
2026-08-05 06:44:21
6
shuu8620
shuu 🌸🌸💞💞 :
mashaallah tunakupendaa sanaaa shekh wetu Allah akuifadhi inshaallah ❤️❤️❤️❤️
2026-08-24 11:54:48
1
muna.bhai573
Muna Bhai :
Allah Akuondole Kila Zito Akupe Furaha Ktk Maisha Yako Allah Atupe Rehma Zake Kwa Barka Za Darsa Zako Atupe Khairull Khusunull Kahatima Allahkarim Ndio Mjuzi Wa Yote
2026-08-04 22:22:35
22
khamis_chata
young boy chata🔵 :
sheakh asemi mtu anasema sisi Yani manake na yeye yupo
2026-08-06 00:45:02
12
fakihmahiye
Nabil fekir :
Shekhe wetu Allha akufanyie wepesi 🙏
2026-08-08 14:03:00
2
denche6
Denche6 :
Kuna watu ukiwaangalia tyu unaona wamebashiriwa pepo wallah wabillah watwallah 😭😭😭 Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-07 09:19:48
5
sammyhusnath
Sammyhusnath :
jamani sheikh walid alaah akunze
2026-08-05 03:39:20
5
oosaidy123
said malola :
daaaah
2026-08-23 22:47:39
1
omyalqasimy
omy alqassimy :
ujumbe mzuri sana
2026-08-05 05:29:03
5
user5066060887015
lucy :
ila waooo wamekuhukumu bila kupekua pekua, mungu anawaona walah, insha'Allah mola atawalipa
2026-08-05 07:42:36
6
mahuwileabdallahrashda
rashdamahuwile :
Kuna wakati tunaamin fahari yetu ni Sheikh Walid, M.Mungu akutunze kwa ajili Waislamu na Tanzania
2026-08-20 17:41:25
3
kingmtanza7
aphiwerh. xi :
pole kaka yangu allah ndiye mjuzi hakika inaumiza wengi
2026-08-10 19:16:48
1
othmanmapunda1
NEW BRAND SAY MY :
Swallallāhu ʿalayhi wa sallam ﷺ
2026-08-05 18:27:20
3
bouy.10
Neroö :
ALLAHU AKBAR☝️
2026-08-05 05:27:13
4
balilusa
shekhmziwanda :
sahihi kabisa sheikh
2026-08-04 21:17:25
4
meddie696
Meddie :
Astaghafirullah, Allah atusamehe.
2026-08-30 13:06:24
1
ashura.ramadhan045
Ashura Ramadhan :
allah akuifadhi sheikh
2026-08-07 11:39:31
1
fatmamy6
fatmamy6 :
mashaallah
2026-08-05 04:49:15
1
To see more videos from user @ahmadimaliki1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About