@.church.boy25: Niambieni hiyo ni kwaya gani tuone kama na nyimbo za dini huwa mnaangalia 😁 #fyppppppppppppppppppppppp #foryou #sda #sabato #tanzaniatiktok

CHURCH BOY 🤗
CHURCH BOY 🤗
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 August 2026 22:58:38 GMT
38289
3364
213
14

Music

Download

Comments

ge333nssy
Ge333nssy ♎️ :
wasabato tujuane hapa jamanii
2026-08-05 10:23:23
174
user9906970590305
kijana muadiventista :
mkono wa bwana by zabron singers
2026-08-05 05:17:54
12
neemaelias6337
Neema :
ahhahahahah lakn daradara za kisarawe umenifanya nikoment mm msabato wa watu😂
2026-08-05 07:02:58
26
user9280012965817
Lil@meena :
mkono wa Bwana by Zabron Singer
2026-08-05 09:31:27
1
silvanusnyangi
MR. Casio :
hyo nymbo naipenda sanah
2026-08-05 11:43:28
2
user9333905245374j
J25 :
jamani mpaka raha derev na konda wake wabarikiwe sana
2026-08-05 07:07:45
17
leeyi64
Red :
watu wana kiu na maneno ya Mungu kwasababu dunia imewachosha.wanatafuta utulivu
2026-08-05 16:31:36
14
anifarajabu0
user8261171906148 :
niseme tuu,tubarikiwe wote tuliocoment. karibuni makambiiiiiii
2026-08-07 08:37:48
4
nicephonne.bonifa
Nicephonne Boniface :
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮𝐌𝐮𝐮𝐦𝐛𝐚𝐣𝐢 𝐚𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢𝐤𝐢 𝐚𝐥𝐢𝐲𝐞𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐦𝐮𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐳𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢
2026-08-05 19:27:17
6
gresi954
gresi :
Nimependaaaaaa❤️❤️❤️
2026-08-05 14:00:04
1
user11981926121516
kwandumaduka2026 :
wabarikiwe SANA
2026-08-05 12:31:02
1
rachel.masatu7
Rachel Masatu :
unaweza pitiliza kituo🥰😂
2026-08-05 10:51:14
1
lilly.mruma
Lilly Mruma :
wabarikiwe
2026-08-05 14:31:25
1
joharimaneno119
ayra ✨🌸 :
yaan nngekuwepo humo ni full vibe t 🤣🤣
2026-08-05 13:14:30
1
diana.manyangu
Diana :
yaani unakuwa na amani mwanzo mwisho wa safiri
2026-08-06 06:03:29
1
katesitibihika
K A T E S I :
Amen
2026-08-05 16:45:44
1
user1900812503346
why me :
nimependa na wimbo jmn nisaidien jina la wimbo jmn
2026-08-05 10:53:56
5
barikijigita895gmail.com
ELibariki jigita :
kwanza unakuwa na aman na usafiri🥰🥰🥰 pili unakuwa na uwepo wa Roho mtakatifu🥰🥰🥰🥰🥰🥰 kwa hiyo mnakuwa salama
2026-08-05 21:20:52
10
reebrandtz3
Ree_Brand_Tz🇹🇿 :
Safiii sanaaa
2026-08-05 20:33:51
2
user4146198198833
Ruben Ruben :
Amen 🙏🙏
2026-08-05 08:18:06
1
user3661173961703
2026-08-05 08:50:01
1
user354451681422
gladymbuya :
amen
2026-08-05 08:36:31
0
shijahamis14.gmal
Exporter@shija :
Napenda sana hata mm
2026-08-05 10:03:27
1
deboraaaa570
deboraa💞 :
zabroni singer mkono wa bwana😄😄😄😄👍
2026-08-05 11:54:09
3
mamaafricadesigner
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Blessing 🥰😇🙏🏿
2026-08-05 08:28:46
1
To see more videos from user @.church.boy25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About