una moyo mzuri sana,una moyo wa kusaidia,una moyo wa upendo uliopitiliza,sio wote wenye nacho wanayafanya hayo uyafanyayo wewe,kiukweli umenijaa moyoni kiasi kwamba naishiwa maneno,Mungu akupe haja ya moyo wako,kila ulifanyalo likawe jepesi kwako,azidi kukufungulia milango ya baraka kila uingiapo na utokapo,nakupenda sanaaaaaaaa
2026-10-01 07:23:40
12
mtitu grandchild :
tunakupenda mungu akuzidishie na akuondolee asada njiani katika biashala zako
2026-08-05 06:49:23
8
Bahat samul :
mzur wa sura had roho mungu akulinde inshaalah!
2026-09-29 18:46:43
2
Allah Kareem 💖 :
Bismillah Allah akupe kila lenye kher Duniani na Akhera Inshaallah 🙏♥️
2026-08-05 11:53:00
1
renee meshacky :
aisee nakupenda Sana jaman
2026-08-07 06:40:00
0
sapna :
Allah aibariki kazi yako.akupe hapa duniani na kesho akhera alfirdous
2026-08-30 09:44:35
0
hassanmkaras :
muku akupi kila la hiri nabaraka amini
2026-08-05 16:59:26
0
orchidée :
penda da twaiba
2026-08-05 15:47:53
0
zeyana :
siku nyingine unichukue na mimi😍😍
2026-08-06 03:09:02
0
FATMA 2040@ :
twakupenda jembe letu
2026-08-07 13:04:10
0
Samira Mohamed :
Allah bless
2026-08-05 06:55:15
0
Chimamytz :
mashallah aunt🥰🥰
2026-08-05 15:12:40
0
ummu j4 :
mashaallah 🥰 so beautiful da twaiba
2026-08-05 06:35:08
0
Zuhura :
ooyoooʻooooo.....kitaaajir
2026-08-05 06:37:14
0
mmm :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰mama lu
2026-08-05 04:55:53
0
panju :
Mashaallah
2026-08-05 05:12:38
0
joycemsemo68 :
tumkumic nakuoenda
2026-08-05 18:52:44
0
zuhrakhalifan :
pretty,pretty,pretty mashallah🥰
2026-08-05 05:52:27
0
user9292273900287 :
da twaiba mungu akulinde zaidi ishalaha
2026-08-05 09:41:46
2
PEMBABOI :
DADA LULU YUKO WAPI 😂😂
2026-08-05 10:10:35
0
sherrynana❤️ :
Allah akufanyie wepesi kwa mambo Yako ishallah
2026-10-02 09:21:51
0
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm
homepage.