@minoxidiloriginaltz: Hii ni Minoxidil Kirkland ORIGINAL from USA 🇺🇸 5% Nzuri kwa Ndevu Hii ni serum ya mafuta ambayo kutumika kustimulate homony na kuboost blood flow ili kuipa nywele na ndevu uwezo wa kuchomoza (kuota/kujaa). Inasaidia pia kuotesha nywele Za kichwani ( Hairline) na pia Hair receding. Unatumia kwa kupakaa(kumassage) sehemu husika kwa dk5 na matokeoa unapata kwa siku week 4 #MinoxidilTanzania #MinoxidilTZ #BeardGrowthTanzania #HairRegrowth #MensGrooming