@veriafya: Mtoto hujifunza vizuri zaidi kwa vitendo na kushika kuliko kutazama hivyo ni muhimu kumnunulia 'Toys' kuliko kumwachia Katuni bila uangalizi wowote au kumsimamia kulingana na miongozo iliyopo. Bingwa wa Magonjwa ya Watoto, Dkt. Edward Machage alishauri haya kupitia TBC Online.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 05 August 2026 05:08:46 GMT
86982
1219
52
1034

Music

Download

Comments

lightness452
lightness452 :
Sawa ntafanya ivoo
2026-08-06 19:37:22
1
omnbit3s888
best_bites09omn :
wangu hajui kuongea miaka 3 anajinyea yani kuongea maneno hajui yeye catoon mpaka.basi😭
2026-08-06 04:02:44
1
cuteadhiambo3
CuteAdhiambo3 :
Cocomelon ndio inawafanya wanangu watulie ndio nifanye kazi🤦‍♀️
2026-08-05 11:51:32
1
lilu.class
Lilu class :
mi sinaga tv na siwez kuweka labda uzeeeen
2026-08-05 07:05:17
4
minah7264
minah :
haki sirudii wangu namuekea cartoon ili ale 😂😂😂
2026-08-05 07:06:02
1
mom0752770283
Tinesher Marton :
Sasa mbona mmechelewa kusema😂
2026-08-05 12:10:38
3
rozzyrozzy33
Rosie🌸 :
Wangu alichakula hadi umuwekee cocomelon
2026-08-05 13:12:42
1
judithmollel
judithmollel0 :
Mmechelewa kusema jaman😂😂 ndo baba ake yupo njian anamletea simu ya saba😂😂 sita ashazpasua yuko na 3yrs
2026-08-05 15:34:22
1
lucykidotu1
lucy kidotu :
mmechelew wangu ana miez 6 anakodolea tv kila siku duuh
2026-08-05 13:12:08
0
jaylene981
jaylene🥰 :
wangu anapenda domikids ana miez 5 vngne ndo siruhusu kuangalia
2026-08-05 18:14:31
1
thecklageorge1
thecklageorge1 :
2026-08-05 07:37:51
1
btryb1
BTryB :
duuuu nimeshachelewaaq ila sijachelewa saana
2026-08-06 09:32:26
0
marybeutypoint
Mary beauty salon :
very bad,watoto sikuizi anamiaka mitano anaongea kama katoni ,wazazi wa sikuizi wakiambiwa awaelewi , wanapewa mpka sm apewi vitu vya kuchezea kuendana na umri wake ni sm TV, doctor yuko Sawa mtt anatakiwa aangalie kwa mda wa fulani na syo whole day jamani
2026-08-05 21:02:19
0
user9557749404948
user9557749404948 :
kweli kabis yamenikuta
2026-08-06 11:31:56
0
elizabeth.edward062
lizy Jojo :
hee mm namiwekea kuazia asubuh mpaka usiku
2026-08-05 11:47:06
0
samih2727
SAMIH :
Toba ndio maana nina hati mbaya kwa kuwa sikushika toys
2026-08-05 07:38:32
0
junay_tham.may_tham
Junay_tham May_tham :
sas sie tuliyokuwaa tushaanza izo tabia sas itakuaj
2026-08-05 13:02:30
0
linangowo0
Lina ngowo :
nikweli kabisa Mungu atusaidiye
2026-08-05 10:22:47
1
rivalnavorn
Fakeshooter :
Aiseee tumekuelewaa
2026-08-05 11:20:08
1
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About