@harry_the_driver: #creatorsearchinsights Ladies hakikisha una pesa yako binafsi period 💵🥂 Kwa kila trip tano unazokamilisha dereva wa gari @twenderide wanakuwekea 15K kwenye wallet yako 🔥💵 @twenderide @twenderide #creatorsearchinsights #harrythedriver #kilamtokonitwende #prank
Eti nilijua nafika na kuingia getini kwa hiyo ulijua na kuna geti mwanetu😂😂😂
2026-08-05 05:25:38
95
ma j2 :
yani mtu unamwambia pole anajibu pole yko inanisaidia nn, na hpo hapo anakuomba umsaidie 🤣🤣🤣
2026-08-05 05:45:20
75
Kabatesi Collections :
😂😂😂😂 Ety akiba naweka wapi?😂
2026-08-05 06:02:02
33
👑QUEEN _ROSE🌸 :
Akikuambiaa twende tukalaleeee Mwambie sina usingiziiiiii😂😂😅😅😅💔💔
2026-08-05 15:14:21
10
Iryn🤍🦋 :
kwa hayo majibu yake ya hovyo ningekua ni mimi ningemuacha hapo hapo
2026-08-05 06:54:36
31
@official_ndimo :
Huyu dada ni mdigo namjua alikuwa shemeji yanguuu😂😂😂😂
2026-08-05 07:06:08
10
Lesley :
Akikwambia twende tukalale mwambie sina usingizi🤣🤣🤣🙌
2026-08-05 09:37:29
12
sallyne❤️ :
me napenda ambavyo unakua unabana kicheko😄
2026-08-05 11:37:47
9
Dsm - Dony :
Kisaikolojia huo ni mpango
2026-08-05 06:03:26
21
nicca :
Harry ungecheka tyu kuliko kujibana😅😅😂🥰
2026-08-05 12:37:47
8
Amore♤♤ :
ninachokiwaza sijui kwamb ni sahihi ama nakosea,huyu Dada anafanyiwa Michezo Maan na Tayari Kuna watu washajua una huruma na wanakufatilia kwamba mtu akikwambia hn nauli utamfanya nn kwa hy wanacheza na akili yako
2026-08-05 10:02:12
18
Freddie :
next time chukua tahadhari, Unaweza kukutana na michezo ya wezi na ukaibiwa 😊☺️
2026-08-05 09:51:10
12
Aneria🌸 :
eti sijakuprank 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 harry 🤣🤣🤣
2026-08-05 08:57:46
2
sarah🙏🙏 :
akikwambia tende tukalale mwambie sina usingizi😂😂
2026-08-05 08:23:31
5
Irene Mmassy :
😂😂niseme tuu ukweli jmn me siezi kwenda kwa mtuu sinaa pesaa kwaa simu tena elf 30
2026-08-05 10:25:03
6
🤍miss Essie🦋 :
em tumpigie😂😂😂
2026-08-05 06:15:40
5
Professor :
yaaani hao wanajuaaaaa wamekufanyia mchezo
2026-08-05 06:04:56
8
vitalisi julius kavela :
ulikuwa unatamani ucheke😂😂
2026-08-05 05:45:44
8
JOYVERA COLLECTION 01 :
mtu mwenyewe mjuaji kuomba msaada hajui mmmmh😅
2026-08-05 07:10:49
5
mimaah♥️ :
mbn sauti kama yanguuu😂😂😂😂😂😂😂 aaanh
2026-08-05 14:27:09
2
ezmirandra :
kwann uwekwe Hy nyimbo
2026-08-05 20:25:32
0
To see more videos from user @harry_the_driver, please go to the Tikwm
homepage.