@mindsetsuccessfullytz: Kua makini na mtu yeyote anayerudi katika maisha yako….. #lifelessons #lifequotes #mindsetsuccessfullytz #Maisha #tiktokeastafrica

Mindset Successfully Tz
Mindset Successfully Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 05:39:16 GMT
24304
1693
40
71

Music

Download

Comments

minah5438
minah :
Na mie ukiondoka usirudii ata km ukiomba msamaha nitasamehe ila keep your face away from me 😌
2026-08-06 06:13:02
2
debbylaus
Debby., Laus :
ninachojua bla mtt asngerud
2026-08-06 18:29:07
0
amina.ally3135
Amina Ally :
nikwer
2026-08-06 16:50:23
1
hopemwasuka
Hope Anangisye :
ndiyo wangu alirudi ,nikamrudisha abaki huko huko🤣
2026-08-06 09:03:02
4
jennrosee8
jenn,,rosee :
Ooooh kuuuumbeeee kitamramba akirudi
2026-08-05 11:05:10
3
mama.muu05
mama muu :
2026-08-05 13:08:16
1
rispakilonzo
Rispa Kilonzo :
kazaa na wa kwanza kamuacha,kazaa na wa pili kamuacha ,kazaa na watatu kamuacha sasa atarudi kwa yupi?😆😆
2026-08-06 14:03:42
1
user1606620059270nyamach
mary moraa :
nilijichanganya nikampokea baba watoto wangu kwa sababu hakuwa na sehemu ya kuishi alikua analala nje. baada ya siku tano alitaka kunifukuza mimi ambapo nalipa kodi mwenyewe. sitojichanganya tena
2026-08-05 15:55:03
1
rejina.wiliamu
Rejina Wiliamu :
madam kwahiyo unatushauri tusiishi na watu wanao tutoboa toboa?
2026-08-05 19:18:06
1
yuddj.kamote
yuddj Kamote :
Mimi wanarudi jamani 🤣
2026-08-06 18:13:47
0
dee.nity
Dee $∆nity :
hata arudi na malaika siwezi kumpokea
2026-08-06 14:13:49
0
lilian.ndyamkama
Lilian Ndyamkama :
Asante saana sitarudi tena aende tu japao wangu wa ndoa amani hakuna Kila siku hapana
2026-08-06 08:36:47
1
lachiadeheroine1
Bintii meshack💸💍💜 :
Ndio yaan 🙄
2026-08-06 11:49:32
0
yuddj.kamote
yuddj Kamote :
kweli
2026-08-06 18:13:47
0
user39684523362933
Ishmudy :
mchungu ukwer
2026-08-05 14:20:53
1
khadija.hasan331
Khadija Hasan :
🥰🥰🥰
2026-08-05 10:54:37
2
user22063934525220
Kaijage Kyoma :
✍️✍️✍️
2026-08-05 11:54:46
2
ummyswafaa1
ummyswafaa1 :
😂😂😂
2026-08-05 15:59:23
1
tausi.ramadhani63
Tausi Ramadhani :
🥰🥰🥰
2026-08-05 18:13:42
1
khadija.hasan331
Khadija Hasan :
🤣
2026-08-05 10:55:37
2
selinanelima5
selinanelima5 :
🥰🥰🥰
2026-08-06 12:33:10
1
jenly22o
Kat official :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 10:14:44
1
mambo_g2806
favor :
@lulu
2026-08-06 17:27:06
1
To see more videos from user @mindsetsuccessfullytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About