@fitanga_journey: Wamama na huko pia kumbukumbu zinacheza 😂#newmom #motherhood #healthylifestyle #fyp #WalkingChallenge

FitAnga_journey
FitAnga_journey
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 05:51:32 GMT
12745
213
67
80

Music

Download

Comments

atu.festo
mamy adeel :
nafarijika kuona tupo wengi jmn, haina haja ya kwenda kumuona sactari tena maana nilihisi nina matatizo🤣🤣🤣
2026-08-05 18:52:31
1
momp0977
💖💖 :
mi zimekata kabsaa😂😂
2026-08-05 12:32:28
0
ade.mrs.norbert
💕ade mrs norbert❤️ :
Ni mimi jmn
2026-08-05 08:52:46
0
munachi6621
MRS MAHEER🫂😍🔐 :
Me ndo sisemi🤣
2026-08-05 08:34:27
0
aisha.juma82
Aisha Juma :
Nilijua ni mimi tu na op zangu
2026-08-05 10:28:11
0
minnah872
Minnah :
😂😂😂Hapooo
2026-08-05 06:30:46
0
tatu.bravo
tatu @bravo :
Nilijiwaga n mim tu mim mpaka kuja cku nauliza mtot yupo wap kumb nmelal nae pemben yng😂😂 mung atucmamie kina mama🥰
2026-08-05 08:32:36
0
edith.david7
Edith David :
nilijua ni mm tu jamani daaa😂
2026-08-05 08:43:06
0
lizzywolfgang
Elizabeth Geo🏆 :
nasahau adi nilikua nataka nifanye nini😅😅
2026-08-05 08:25:42
0
mareenjoh
Maren-joh :
😂😂😂 Kumbe issue ni deep kias hiki
2026-08-05 12:09:25
0
zainabkeya8
~Zerich♡" :
imenikuta nimemuandalia baby mafuta ya kupakaa akishaoga mara ghafla nikasahau nilipoyaweka😂
2026-08-05 17:19:51
0
salmamsana
salmamsana :
nilimshika mtoto namnyonyesha nikamwambi a mume wangu niangalizie mtoto chumban kama kaamka😅😅😅😅
2026-08-05 14:04:05
1
brendammanga
mumney🥰🥰🥰 :
zinaingia nakutoka jmn
2026-08-05 13:17:02
0
lifestyle20128
Lifestyle005 :
nikiwa sehem tofaut na nyumban kabla sjaondoka najikagua mara mbilimbili sichelew kusahau kakitu nyie nyie 🤣
2026-08-05 08:33:25
0
bellahtesha
belinda tesha :
nilimwambia dada nipe hiyo baby shawl hapo yaani fryingpan ndio naita baby shawl😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-05 08:19:53
0
shuuseme
shuuseme :
Jana nimepoteza simu mala 7 kwa siku 😂😂, hii baby brain inatunyoosha
2026-08-05 07:50:19
0
jackielucas92jacki
mama Amal❤️ :
daah nikajua n mimi tu juz tu rimot ya kuwekea umeme nimegombana na mwenye nyumba kumbe nnacho mimi
2026-08-05 11:47:45
0
pendo7095
pendo :
Mda wa maombi ukifika mnishituee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 18:31:50
0
user92019400910451husnat
user92019400910451mamy husnat :
namivisha wali alaf nakuj kukumbuka sijaweka chumvi uuw nachoka 🤣🤣
2026-08-05 19:49:06
0
ms_innah_
Innah :
Nilikuwa napika ubwabwa sasa nikaonja chumvi haijatoshea, sasa baada ya kuongeza chumvi nikawa naongeza mafuta alafu ndo naonja😂 nashangaa mbona hii chumvi leo haikolei😁😁
2026-08-05 19:42:43
0
queensalhat7
Mysalhat🦋 :
nilizani mm nimeanza kuw chizi😂😂😂sahivi hata kwenda dukani naenda nimeandika kwenye karatasi
2026-08-05 21:42:26
0
user74544061763441
user74544061763441 :
nilijua nipekeangu😂😂
2026-08-05 18:54:07
0
lastborn_405
bby gal🫰❤️ :
nilienda sokon nikaanza kupanik nimepotez poch kumbe ipo nimeivaa mkonon😂
2026-08-05 20:58:55
0
To see more videos from user @fitanga_journey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About