@sokaplace_: 📍 Siku ya Tano ya Maonyesho ya Nane Nane – Mbeya Karibu Mwanjelwa Agrovet. Tunapatikana kwenye mabanda yote ya @seedcotz katika Maonyesho ya Nane Nane, Mbeya. 🌱 Bidhaa ya leo: Agri Prid Kwa wale waliowahi kutumia Agriprid 11.2 EC, tayari wanafahamu ubora wake. Hii ni dawa ya mfumo (systemic insecticide) yenye uwezo mkubwa wa kudhibiti wadudu waharibifu ndani na nje ya mmea. Baada ya kunyunyiziwa, dawa husambaa kwenye mmea mzima—majani, shina na hata sehemu mpya zinazoota—na hivyo kuwafikia wadudu popote walipojificha. ✅ Inasaidia kudhibiti: • Vidukari (Aphids) • Minyoo ya majani • Leaf miners • Wadudu wanaonyonya utomvu 🌾 Inafaa kutumika kwenye mazao mbalimbali kama: 🍅 Nyanya 🥬 Mboga za majani 🌽 Mahindi …na mazao mengine mengi. Inapatikana sasa Kwenye Maduka Yote ya Mwanjelwa Agrovet 📍 Kabwe Mbeya, Tanzania 📞 0715 691 001 📱 @mwanjelwaagrovetcenter @mwanjelwaagrovetcenter @mwanjelwaagrovetcenter Karibu ututembelee kwenye Maonyesho ya Nane Nane Mbeya na upate ushauri pamoja na bidhaa bora za kilimo.