yaani rais wetu mama samiya amewapa watu dhamana ili wamsaidie kazi lkn sidhani kama ivi ndio kumsaidia mama kazi hiku ni kumtia jina baya rais wetu.ila mungu yupo ataweka haki ya uyu boda boda.😭
2026-08-05 10:24:51
15
adinan abdallah :
mi naiwaza siku ya qiyama sijui itakua siku ngumu kiasi gani hiyo siku kwa mja maana dah...😭
2026-08-05 11:32:00
5
Wanyumbani :
?
2026-08-05 09:52:57
6
kime b2 :
cha kwanza siwezi kutukana kabla sijajua alikua amebeba nini
2026-08-05 10:06:08
6
《LÕŃĔ ẄØĻF》😎🤏•☆ :
Mungu baba ikikupendeza na hawa baba wasimalize ata wiki sikia vilio vyetu mwenyezi🤲🤲😭😭😭😭😭
2026-08-05 10:09:01
14
Hussain ✨️ :
kusema ukwel nataman hiz pesa zangu wanazo nikata Kila mwisho wa mwez P.A.Y.E. kwa ajir ya watumish wa umma Bora wapewe yatima 😭
2026-08-05 11:16:27
6
mr vibes tz :
unajua nini mungu sio kiziwi wala kipofu
ni swala la muda tu kwake tuseme Ameen😭
2026-08-05 10:12:53
15
Bewise :
Angekuwepo JPM hawa wasingekua na kazi sasa hivi.
2026-08-05 10:12:00
8
zuber 🥀🥀 binwan 🥀🫧🫧 :
inshallah yote maisha t tuta kutan mbere ya Allah
2026-08-05 08:51:37
6
MJUKUU SINGIDA ONE😎 :
Acheni tu na wanajiita polisi huo si wizi kabisa ila tumwombe sana MUNGU ATUEPUSHE NA LAANA KAMA HIZO😭🤔
2026-08-05 07:50:13
14
maltintz :
kwn jaman shid kubwnn jaman
2026-08-05 08:56:45
8
Angara@1 :
ndomana sijawahi kum penda police🥺
2026-08-05 10:11:31
7
rajipamaboko933 :
daaahh.. inchi na walinda amani. ivi nikweli kuna amani apa tanzania jamani mbna tunajisau lakini😭😭
2026-08-05 08:46:40
8
OP DUMA VANA :
hiii vita itaisha lini jamani,alf isitoshe hawa wote tunaishi nao mtaana watoto waoo wanacheza na watt wetu,inakuwaje tunafanyiana hivi lakn😭😭😭😭
2026-08-05 10:06:08
6
To see more videos from user @hardnewstv, please go to the Tikwm
homepage.