@tangawizipori: Replying to @minnah_39 Najua jinsi inavyosumbua na kukosesha amani unapokuwa unapitia changamoto ya uke kuwa mkavu au kuwashwa na kutoka uchafu. ​Mchanganyiko huu wa Tangawizi, Limao, Kitunguu Swaumu na Kitunguu Maji ni njia nzuri inayosaidia kusafisha ndani, kuondoa sumu, na kusaidia mwili kurudisha ute.

Tangawizi pori🌿
Tangawizi pori🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 06:21:50 GMT
546009
16715
736
1266

Music

Download

Comments

user6002531531225
zuh :
sijaelewa ni dawa ya nn
2026-08-22 10:57:52
12
rolaofficial7
Rola🦋🦋 :
Nilishajarbu hii jamn siwez kurudia
2026-08-22 18:37:22
20
swabrat.juma
beby ney💋 :
Samahn na watu wa bukoba tunatumia 😂 nauliza tu jmn
2026-08-05 16:07:55
134
bnyymgnn
🥰😍😍 :
jmnn me nmekunywa jana2 leo nkaingia period bila kutegemea hii ina maana gani?
2026-08-05 18:35:40
59
nerling50
Nerling :
jaman nimejaribu Jana usik tumbo langu mpaka Leo silielew nimeacha wee
2026-08-10 09:23:04
9
paulina.andrea525
Paulina Andrea :
hiya ni tangawizi au kitunguu swaumu
2026-08-05 18:31:55
16
unicemoshi2
🍓😘LASTBORN 🥰🧚 :
me nilikunywa kitunguu maji na tangawiz +ndimu nikaingia period nilifurah maan nilijua kwisha mimi😂😂😂
2026-08-06 07:51:26
33
matha.suza
Matha Suza :
kipenz unakunywa au unanawa
2026-08-21 17:58:55
9
liza88154
liza88154 :
Mimba jmn mimba mi sipo nawaambia mtalea wenyewe
2026-08-06 08:49:26
68
lucy625400
lucy♡✨🧿♉️ :
Inasafisha Mirija kama imechanganyikiwa hapo mimba n chap
2026-08-07 12:09:46
39
sumaiya.chilemba6
Sumaiya chilemba :
eti dada mbona mimi nikitumia huu mchanganyiko nais kuumwa sana
2026-08-07 05:12:44
7
vivierichie7
🎧🎸Scorpion🦂 💝🇹🇿 :
Mbona mm situmii chochote,nikisikia tu saut yake
2026-08-08 07:21:49
7
faithmpiziog
Faith~rujaynah :
hivyo n vituu swaumu au tangawizi?
2026-08-05 20:34:28
5
ashriphatgalby406
Ashriphatgalby406❤️🔐 :
Jamaniii kuna ile tangawizi,kitungu maji na saumi jamanii ile hatareeee wallah mpaka hedhii na hamu juu😂
2026-08-05 17:10:21
23
happynes.maselo
Happynes Maselo :
nilitumia nikashangaa namimba yabila mipango nililia kama nimepigwa 😂 kama mnataka mimb kunywa
2026-08-09 19:50:34
5
tausi957
Tausi :
samahan kipenz kam natumia uzazi wa mpango si fresh siwez pat mimba
2026-08-06 10:28:30
9
babytee142
Momy Alvin🫂❣️ :
unatumia kwa muda gani??
2026-08-05 07:10:01
7
user4502231129974
g my :
Sina hamu na hii kitu mpaka pi2 yenyewe ilidunda saiv tunalea🙌
2026-08-09 13:59:15
5
vetmadameh17
Vet_jacqueh(TAURUS♉️) :
Hii nna ushuhuda nayo🥰🥰🥰
2026-08-05 16:24:18
5
happyness.mlay1
happyness.mlay1 :
Hy ya njano ni chungwa au
2026-08-05 12:12:04
6
greiner242
☘️princess charming💞 :
tunaotumia uzaz wa mpang haiwez kuharibu dawa
2026-10-06 21:21:23
2
user1580867330704
Rachel official :
ambao hatuelew kama ni kitunguu swaumu au tangawiz gonga like😁
2026-09-14 05:57:12
2
tracy.ngassa
Tracy Ngassa💫🦋 :
vitunguu saumu na tangawizi unasaga au unachemsha hvyo hvyo??
2026-09-25 10:05:10
2
_.kenzie46
_maria💕 :
Ukitumia usiku kunashida
2026-08-13 12:13:55
1
hawainnah.jafari
Hawainnah Jafari :
kipenz mim nilitumia sindano nikitumia naweza.pata mimba
2026-08-21 14:54:29
3
To see more videos from user @tangawizipori, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About