@car.true.report: Kushushiwa Kilometer inauma sanaa ili yasikukute hakikisha unanunua Report kabla hujaagiza gari Japan au Kununu kwenye showroom Tembelea website yetu 🌐www.cartruereport.com #CarTrueReport #carreport #cars #carmileage
wanakuoneshaje na magari ni yamefanana chasis number
2026-08-06 07:28:39
0
hassaniwalanchin0 :
safi kwa kutusanua
2026-08-06 04:04:30
1
World Lyrics :
gharama ya kununua report ni tsh ngap!?
2026-08-05 14:36:53
1
Yahya :
Ya kwangu pia nataka kufuta KM maana no E lkn nimesafiri nayo sana af nataka kuuza
2026-08-06 03:23:47
1
ra.heem01 :
ukitumia scanning tool waweza pata real kilometers ki urahisi pia
2026-08-06 05:10:06
0
therealupendodamas :
Ndio mana sinunui gar show room
2026-08-05 18:31:24
2
user8138494121229 :
Mungu wangu
2026-08-06 05:55:17
0
Hikups Kikons :
2026-08-06 04:48:08
0
M_HUB :
post haihusu 😁
2026-08-06 14:53:25
0
Msoo :
Hiyo SCAMMER inafanywa kwenye magari yenu yakununua kwenye yard za bongo kwawale mnao ogopa kuagiza.
Lkn hakuna gari inayoagizwa nje na mteja mwenyewe alaf ikashushwa kilometa.
Ushauri wangu kukwepa hilo msinunue magari ya yard zakibongo SHOWROOM, BORA UAGIZEE
2026-08-06 11:02:40
1
user24024190945116 :
Kumbe huwa wanafanya ujanja
2026-08-06 11:51:39
0
hafidhi hafidhi :
hii nayo sio ya kuiamini imekaa kibiashara zaidi
2026-08-06 09:28:25
0
user5612314036930 :
mbona kulipia sasa
2026-08-06 05:42:57
0
HAWA VUNJABEI :
Duh 😭
2026-08-05 08:57:06
0
georgenyange71 :
uongo huo
2026-08-06 07:28:53
0
Benstars :
Hii yenyewe, love it
2026-08-05 17:43:03
0
HI WILL :
nimetetemeka
2026-08-05 16:22:19
0
SIYAMANDA :
UTASHUSHA HIVYO LAKINI MIMI NAJUA KUZIRUDISHA
2026-08-06 12:38:37
0
To see more videos from user @car.true.report, please go to the Tikwm
homepage.