@mstaafu_forum: Sasa baada ya kuongea hili usimgombeze, please maana anaangalia usalama wako na wake pia Kukuendesha kilomita 1000 sio kazi rahisi, inahitaji umakini na utulivu barabarani, ndio maana anaomba ujali muda ili apate muda wa kupumzika, vizuri. Charles Ligonja
ninayo pitia mie kiongozi zaid ya hayo ufika saa12 asubuh anatoka saa5 alafu anataka ufike mahala na ukifika hakuachi anaanza mizunguko mingi hadi muda kukuacha saa5 hadi saa6 aisee na hata kama huna hela hakusaidi chochote, kuna siku wife amebanwa uchungu wa uzazi home ananipa tarifa nimfate nimpeleke hosp na unavojua tunaish wawili tu maisha yetu haya so nikamuomba nikimbie nimdrop hosp lkn jibu nililo pewa ni kuwa me doctr aise nililia snaa but hata akiokota kitu hakupi hata mia na akilipiwa yy hotel hakuombei ww wala hakuambii chochote hata kama saa6 usiku yan daaah bas napenda kaz na familia inanitegemea najikaza tu.
2026-08-05 16:25:11
41
BABA PAROKO ☠️🇹🇿 :
mimi nilikuwa na boss wangu akikuambia saa moja halafu ukachelewe hata dakika moja unamkuta anatembea na mabegi yake 🤣🤣🤣
2026-08-05 15:19:45
164
jacque😍💕 :
Boda wangu anatamanigi aje anitoe ndani
2026-08-05 20:42:08
11
tshaker :
kwani kuna mtu analazimishwa kazi jamni mwambie aache kazi 😁
2026-08-05 18:02:07
6
last born 🤞💃🥳 :
kwann Perpetua lakn jmn 😢
2026-08-05 18:28:03
5
Bertha John :
ni safari ipi kwan mnazungumzia .maana mm nilikua nahic ni kufika kileleni😁😁
2026-08-06 13:12:29
4
stavy_dwaynejr :
Hii kazi ya udereva kuendesha matajiri ina changamoto sana
2026-08-05 09:11:31
7
Dark-Sand(Tz) :
Kuna umuhimu wa kuwa na servant quarters. Incase una safari ya mapema dereva wako analala pale pale kwenye compound servant quarters, inakuwa rahisi yeye kuamka na kukupeleka safari yako pasina ghadhabu za kuamka kwake saa tiza za usiku.
kikawaida Maids, Drivers hawa wanapaswa kuwa na servant quarter zao nyumbani kwako, option ya wao kulala pale ikatokea kazi imeisha late sana au anatakiwa mapema sana iwe rahisi kwake na kwako.
2026-08-06 08:01:53
6
Mike_Van_Ngeti :
Mimi ukiniambia nifike saa kumi ukatoka saa 12 mara ya kwanza Mara ya pili mara ya tatu mara nne nakuja hiyo saa12 shubamiti
2026-08-05 19:26:21
7
official kevoo :
dahh hii nimeweka status nadhan atiyona mkuu umenifikishia ujumbe brother na nikiangalia hapa na ame view
2026-08-05 17:12:35
5
Yuzaseef :
Kuna tofauti ya Kiongozi na Boss
2026-08-06 15:32:39
1
Sammy :
kweli kabisa umenisemea mkuu
2026-08-05 11:03:00
7
dee🦋 :
jirani yangu sijui kigogo serikalini dereva ake anafika saa kumi ye anatoka saa kumi na mbili muda wote dereva hazi gari mpka atakapo toka 🤣
2026-08-06 05:06:51
1
mahmoud_devu :
Daaah Mungu aendelee kutupa subra, maana kumbe tupo wengi wenye tunaumia n hili jambo...😏😳
2026-08-05 17:30:51
2
Lucia Benedict :
bora utusemee baba uwiii
2026-08-05 14:55:42
1
petty Moshi :
kwanini mimi Perpetua jamani😃😃😃
2026-08-05 19:12:18
0
Harlem :
...kama anafika home saa 11 alfajiri na bosi anatoka saa 2 asubuhi sijaona shida. Yeye akifika nyumbani akunjue siti lock gari na alake humo humo ndani hadi moja na nusu😂
2026-08-05 19:45:27
0
faustar :
uyo ni dada wa mimi kabisaa na nimemtumia asilize
2026-08-05 11:41:08
2
Joseph :
madereva tunadharaulika sana aiseeee
2026-08-05 16:01:13
4
🤴 :
nimetoka kumuacha boss wangu ,mana kashafanya michezo na Airplane mode juu 😂
2026-08-05 16:19:03
2
AL-Basel :
me nashukuru wakwangu kufika saa 12 nanusu afu kuzin unampeleka saa 1 niki fika officin kwake kuanzia saa 2 adi saa 10 mchana nakua nime lala tu na chai asubh nakunywa kala ntini na mchana pia kala ntini saa 10 tuna tuna toka officin namrudisha nyumban siku nzima nashinda kwenye wifi kwakwel nip free pia mchana nalala sana
2026-08-06 09:07:51
0
Geofrey steven :
mim nilkuw na boss wangu uyoo du nilkuwa silali aisee nalud hom saa 1 usiku asibui saa 10 uwe kwake afu safali saa 12 m2kmasio derev uwez elewa