@abrahmapenzitv: #zanzibar #daresalam #europe

Mapito online tv
Mapito online tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 07:00:20 GMT
14715
376
145
95

Music

Download

Comments

khaleedcasper
Khaled :
Progress and development won’t come without having law abiding citizens.
2026-08-07 19:00:17
0
kessy4647
kessy :
tatizo tumezowea kuishi kwa mazowea mtu mjini unaenda mabio ya kazi gani kila mtu ana haraka yeye tubadilike mm binafsi nimeipenda iyo
2026-08-05 20:15:49
10
oloo358
oloo :
kama unawai ndege inaondoka saa 7 mchana kwann usitoke kwako saa4 asubui
2026-08-05 18:48:33
6
silencer696969
THE SILENCER :
fata sheria kwanini overspeed .spidi 50 kwa airport mimi naona ni kubwa kwasababu kwanza foleni umeambiwa ufike Airport 3 hours kabla ya flight yako kuondoka .sisi tulio nje tushazowea hizo sheria
2026-08-06 19:22:33
1
fii5760
fii :
Tutazowea tuu nauli tulianza 300 saivi 700 uchumi wa blue tutazoea tuu🤣🤣🤣
2026-08-05 20:02:34
3
bublee87
Bublee zanzibar excursions :
Tuliambiwa yajayo ni neema tupu, watu wakadhani watapewa maziwa na asali
2026-08-06 11:56:43
1
user9835816205682
user9835816205682 :
gari za rais zinatembea speed ngapi i
2026-08-05 18:37:04
6
udolekongni61
user4088349293830 :
zanzibar tunaona raha sasa mzee mwinyi ibadilishe zanzibar
2026-08-05 20:10:18
2
fabrizomuhammad
M.r Feteh200 :
Sasa ndugu zangu kwanza hakuna mtu aliezaliwa akawa anatembeaa au akawa zungumza au akawa anajua kusoma kwanza Hata roma haijajengwa kwa siku moja maendeleo yaanaaza kidogo dogo haiwezekani kurudi watu Stone age enzi za mawe kwanza hiloo
2026-08-06 04:33:25
1
saeedmohd.omar
Saeedmohd Omar :
Tatizo madereva wamezoea kuendesha rafu ila safi tu maana hizo sheria na camera hazipo zanzibar tu kaka
2026-08-05 15:41:30
5
mrs.nofel2
Mrs nofel :
ikifika pemba hii ah mtihan mana gar zinatembea kama ndege
2026-08-05 19:39:41
1
amourali431
amour ali :
unajua nini unakariri wap ipo kamera unapunguza wap hapana kamera unapopoa Kam kawaida
2026-08-06 21:27:17
1
0002nnnn
0002 :
hatujafikia huko ikiwa umeme Tu unatushinda
2026-08-06 04:46:39
1
ziliwazir
ziliwazir :
ushahidi unao kaka
2026-08-06 17:56:25
0
user812433039681
user812433039681 :
kiukweli nilitamani sana tufikie hapa tulipofikia maana mijitu haifati Sheria Kila jitu Lina haraha kaswa Private hire naomba Silva wakazr hapo hapo
2026-08-05 16:16:13
4
nassormasoud153
vijite :
ni Sheria kandamizi au haijatimiza vigezo inakwambia tu mbele Kuna camera za speed lakini haianishi ni speed Gani unayotakiwa uende hivyo hata ukitembea 20 kph wanauwezo wa kukupiga faini
2026-08-07 05:52:13
0
fabrizomuhammad
M.r Feteh200 :
Nchi za wenzetu ndivyo ilivyo hivyo ukiendesha ukapita kinyume na speed kuna Alamu inalia ndani ya gari lako ni kawaida tu ndugu hiyo ndio sheria ndugu na maendeleo Suala la kusafiri na kukumbiwa na ndege ni jukumu yako kuwahi mapema ndugu yangu ndio sheria za kusafiri na ndege
2026-08-05 19:07:24
2
udolekongni61
user4088349293830 :
huyu sio mzanzibar
2026-08-05 20:09:37
0
meyyankharusy
Meyyan kharusy :
Kwa hili naiunga mkono Serikali 100 kwa 100, ukitaka kuwahi airport toka mapema, tumechoka athari za kukimbia kiholela mabarabarani
2026-08-06 16:36:31
2
islamuabdull
islamuabdull :
ht huko Ulaya fine iyo hakuna
2026-08-05 20:57:46
3
eddiewazirmalcolm8
MALCOLM :
iyo ndio vizuri vurugu zita pungua ukitaka kwenda safar yako kama unaharaka ondoka mapema. alafu. alafu lazima mufanyiwe ivo. kwa kuepusha ajali barabaran. watu wanakwenda mbio sana. hamufati sheria za bara bara. nchi imekua tafrqn bwana mtu unagongewa gar ysko na boda boda alafu anakukimbia
2026-08-06 06:47:22
1
kassim_kassim2
kassim_kassim2 :
Kila maendelea ya faida zake na changamoto zake mazali tunaendelea tufate sheria
2026-08-05 15:14:17
1
abdulally639
Abdul Ally639 :
mm watanifilisi maana siwez kaa road mda wote uwo
2026-08-05 22:15:28
1
wattemi431
Wattemi431 :
nnacho amini mm akuna mwanz usio kua na mwish0
2026-08-05 19:29:27
3
udolekongni61
user4088349293830 :
unaturejesha 1920
2026-08-05 20:02:44
1
To see more videos from user @abrahmapenzitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About