one thing I know naesa sema tuterm nipewe changu then finally Niko oneterm
2026-08-05 08:38:19
5
jay :
hio jacket. top notch. but mambo ni one term.
2026-08-05 14:03:46
0
9663_nassah_nassah :
kwa hiyo maneno I will pray at home
2026-08-05 16:16:45
0
joshua ke@ 25721 :
wantam is unstoppable
2026-08-05 09:17:41
0
Hillary kk the Mediator :
Church and politics exist 💯💯
2026-08-05 12:33:22
0
Bekatradeitx :
imagine 🤣🤣
2026-08-05 11:18:37
0
silas :
uku online Niko wantam lkn nitaenda kumchagua ankoo willy 🤣
2026-08-05 08:07:52
4
Cecilia Kuza :
sikuizi kuna viongozi wadini?
2026-08-05 08:36:37
1
pamelachebutala :
shilling shilling
2026-08-05 07:24:30
2
mbithialfred6 :
aah hii n pesa wanaendea tu
2026-08-05 08:12:17
0
Eddie :
Pesa ni mwanamume
2026-08-05 09:13:35
0
Mwarauka 001 :
hao sio viongozi wa kidini,wamechemsha vibaya sana.viongozi wa kidina hawapaswi kuingilia mambo na siasa.
2026-08-05 14:44:32
0
Ojayz :
Wameshibishwa hawa 😳😅😅😅
2026-08-05 11:33:40
0
yunustullu :
pesa ndio shida bana
2026-08-05 14:01:32
0
fei،،Nu :
mbele YA 10,000 lazima utaimba
2026-08-05 08:53:41
0
@Müngòzybrowñ26Ke🇰🇪🇺🇲 :
Kuna sadaka 👌😂😂
2026-08-05 12:23:28
0
brayoh😎 :
hiyo mchezo ya town ruto anaijua sana
2026-08-05 11:39:03
0
Qim :
Lazima waimbe😅😅😅 njaaa
2026-08-05 08:38:48
1
96Hance :
wamelambishwa asali ya ikulu
2026-08-05 07:25:54
1
kanyinke nase :
Niko na special-kid, dawa imenidrain sana. Hata za fud imekuwa hard, mara sijalipa nyumba miezi mbili. Someone anibless na 220 ninunue mananasi nikatekate nianze niuzie watu
2026-08-05 07:26:25
2
SONIC :
Ni Kama Ruto Alisoma Aliance High 😏😳
2026-08-05 08:30:42
1
VIBING WITH GAUCHO :
wanafik tu hao😂
2026-08-05 18:09:47
0
user226831588660 :
Si pia wakristo Jana walisema 2tam
2026-08-05 15:54:21
0
Kinuthia_Aba_Guyo :
Ni wakati wa kuvuna mjue hivo kwanza
2026-08-05 17:12:44
0
🎀purity♀️ :
n njaa 2 waeleweni😄😄
2026-08-05 08:43:27
0
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm
homepage.