@vkbmedia: 🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fei Toto 🇹🇿 hatakuwa sehemu ya kikosi cha Azam FC kitakachocheza mechi ya kirafiki kesho Kigali. 🇷🇼 Feitoto atakuwepo uwanjani kama mtazamaji. Fei tayari ana makubaliano binafsi na Yanga, huku mazungumzo kati ya Yanga na Azam FC yakiendelea. 📅 Tarehe 13/08/2026 inaweza kuwa muhimu katika hatma ya dili hilo. #VKBMediaUpdates
Van Kahise
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 07:10:39 GMT
Music
Download
Comments
violeth vio🥰💋 :
hatutishii mbona alivokua Azam alifungwa vilevile😂😂😂
2026-08-05 16:31:45
9
BAHAME kiningolo :
yanga bingwa x6 aibu Wataona waoo
2026-08-05 08:57:31
15
Alex-James-offical :
sio Feisal ni alfonce mabula
2026-08-08 05:27:45
3
anitha nyamwiza :
Feisali akisjiliwa yanga VKB nitakufolo
2026-08-05 07:22:05
4
Anuary z Abdallah :
kumbuk hii ni yanga😁😁
2026-08-05 07:27:41
6
kindole :
Oyaa mi Bro wake uyo dogo Amin usiamini Fei anaenda Yanga bado utambulisho2
2026-08-05 08:58:42
6
Mwas@12❤️ :
ni kweli mm ni mdogwake kapiga simu nyumbani jana usiku tumemuuliza kasema tusubiri utambulisho tu kama mnabisha bisha mm ni mdogwake sasa
2026-08-05 08:42:59
2
Asnath joseph :
napita tu
2026-08-05 09:56:38
1
Nifer GirlG :
Mtajua wenyew bn kwan Fei hatumjui jamani😂😂😂😂😂
2026-08-05 17:30:09
1
Abdulkhabir :
hii social media itakuj kuuw wat
2026-08-11 19:37:20
0
the fighter tz :
Respect broo kama ni kweli☺️
2026-08-05 07:44:31
2
user4765499444256 :
so kweli
2026-08-12 10:48:37
0
Mariam Jaji :
mnatuchosha akili mara simba mara yanga tumechoka
2026-08-13 19:15:30
0
Jadmalovie@7200#🇷🇼 :
fei kasajiliwa Barcelona jamani
2026-08-05 22:11:00
0
Eddy Brown :
hakuna hio kitu
2026-08-05 13:21:54
2
esther Kiwale :
kaka kahise how are you
team gan upo kaka kahise
2026-08-12 03:22:05
0
Gungunyo OG :
mwangu nikiwaga nchi jirani media yako inanifaaga sana
2026-08-05 16:04:31
1
king'aassu🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
wehu😅😅😅
2026-08-05 07:56:27
0
lwila oden :
tokapa mlikua nae mkamshindwa
2026-08-09 11:18:40
0
Chanja og :
tik tok bwana
2026-08-08 13:17:40
0
chard voice :
acha uongo bro
2026-10-25 16:37:55
0
Irene kafem :
msichuchsh bhn
2026-08-11 17:38:59
0
Evance jr :
welcome simba feisal ❤️
2026-08-05 20:05:45
2
telispholy chipugi :
kumbe maneno ya kuambiwa
2026-08-08 15:33:41
0
kluivert :
uongo mtupu
2026-08-05 08:28:50
0
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.