@kiswahilitvonline: Robert Sylvester Kelly, anayejulikana kama R. Kelly, alikuwa mmoja wa wasanii na watunzi wakubwa zaidi wa muziki duniani. Alitawala viwanda vya muziki kama "Mfalme wa R&B" tangu miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2010, na huu ni moja kati ya nyimbo zake unaoitwa "The Storm is Over Now" ( Dhoruba imeisha) na aliutoa mwaka 2000 kwenye albamu yake ya nne iliyoitwa TP-2.Com. Kwa sasa anapitia dhoruba kali kutokana na kesi ya mwaka Julai 11, 2019, alipokamatwa na FBI na kuwekwa jela bila dhamana kwa kosa la unyanyasaji wa kingono. Ilipofikia mwaka 2021 kesi ikiwa bado moto alipatikana na hatia ya kuendesha mitandao ya uhalifu na biashara haramu ya ngono na kuhukumiwa miaka 30 jela. Lakini matatizo hayakuishia hapo akiwa bado gerezani mwaka 2022, alipatikana na hatia ya kutengeneza picha/ video za ngono za watoto na kuwarubuni watoto, hivyo akaongezewa tena miaka 20. Lakini kwa huruma za Jaji wa Chicago, aliamuru kwenye hiyo miaka 20 miaka 19 itolewe na atumikie miaka 31 jumla na ile ya mwanzo. Kwa mujibu wa Idara ya Magereza ya Marekani, tarehe yake rasmi ya kuachiliwa ni Desember 21, 2045, ambapo atakuwa mzee wa umri wa miaka 78. Na hivi karibuni, mnamo Julai 2026, mawakili wake wamewasilisha maombi rasmi kwa Rais Donald Trump kuomba kupunguziwa kifungo hicho, wakidai kuwa umri wake unaenda na maisha yake yapo hatarini gerezani. Maombi hayo bado yanafanyiwa kazi. 👉Je, unavyosikiliza wimbo huu leo, ukiwa unajua sasa hivi R. Kelly yuko gerezani akitumikia miaka 31, unajisikiaje?

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 August 2026 07:17:08 GMT
140039
6997
148
82

Music

Download

Comments

msisiri14
@msisiri14 :
Still storm not over
2026-08-06 06:58:38
1
zanda9018
🌴ZANDA 🦄 :
2018-2026
2026-08-06 11:03:56
1
goodluckmoshi27
Good Hb "Actor" :
It's more than pain
2026-08-05 19:16:33
2
witare65
user4375018812638 :
kwa kosa gani alifungwa
2026-08-05 08:59:33
50
hiddenwiki_2026
HiddenWiki :
storm is over 🔥
2026-08-05 21:59:55
1
reginaarony223
rebee@@ :
kwa jinsi ninavyompenda nimeumia sana kwa kile alichokuwa anafanya
2026-08-05 17:33:21
19
dre.chcolate
black coffee 🍺 :
one day the strom will be over like his song AMEN
2026-08-05 13:04:38
7
lucy.aloyce8
Lucy Aloyce :
😥😭😭familia ndio inayoumia zaidi
2026-08-05 09:58:23
14
maulicious.petty
Maulicious Petty :
me ndo najua Leo Masikini😭
2026-08-06 05:39:47
6
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Nimeumia duh 🙌
2026-08-05 16:01:43
6
user65962436665816
prince ford :
Na Lissu Je..!?
2026-08-05 20:42:41
3
catydeo
Caty Deo :
akae kdg haituhus si alichaguaa
2026-08-05 12:27:37
15
zique.collection
ZiQue ZIGUYE :
name song please 🥺
2026-08-05 13:32:34
4
aisha_andrew
AISHA ANDREW :
walah n,me ndio najua leo alifanyaje kwa anae jua
2026-08-06 06:33:56
3
mussamsuya0
Mussa Msuya :
alihukumia miaka 30 ila akaongezea miaka mingine20 ila inawezekana kutoka 2045 aloooo😂😂.
2026-08-05 21:24:02
2
mimahnails1
mimah nails 💅 :
maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, anachokitumikia leo ndicho alichokitengeneza kwa mikono yake mwenyewe, vp wazazi wa hao watoto wakiskiliza nyimbo zake wanajiskiaje
2026-08-05 17:26:19
9
teddy.zachary4
Teddy Zachary :
mh kweli
2026-08-06 10:01:25
1
imviable
I'm Side :
lakini tulimuona kwenye kombe la Dunia (word cup
2026-08-05 10:19:25
7
notorious19victor
the notorious19victor :
R Kelly R Kelly kwani ye Nani? cc kuna ndugu zetu wapo jela mwaka wa 15 na hatusemi
2026-08-05 14:26:54
7
linaheddy55
Linah_eddie🦋🧚‍♂️ :
Kwani bado mingapi atoke😳?
2026-08-05 14:34:41
4
malaikacute034
Carolina. Cute :
Hi ndiyo dunia. Atakama sikweli litafanywa kua kweli na ukweli kua uwongo. Tumwombe mungu atutenge nazambi
2026-08-05 18:13:23
6
melanini128
~Just me~🍂🧸 :
MUWE MNASOMA CAPTION KABLA YA KUULIZA 😩
2026-08-05 18:05:12
4
teddylyimo855
Teddy Lyimo :
kwa kosa gan
2026-08-06 07:40:23
1
d.momy24
d square🦋 :
MBONA WAHALIFU NDIYO WAPO URAIANI HAO WALIOP GEREZAN WAACHIWE WANA NAFAS YA KUJIFUNZAA BHD🥺🥺
2026-08-05 19:33:32
4
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About