@busybeeonyiegoo: Miaka mingi iliyo pita Diamond Platnumz na Jokate waliwahi kudate badae walikuja kuachana kila mmoja akafata njia yake Lakini kumbe Diamond Platnumz hakuachana na Jokate kwa ugomvi, tazama jokate alisafiri hadi saifee hospital kwenda kumuona Zuchu Jokate hakwenda mikono mitupu alibeba zawadi mbalimbali kwaajili ya Zuchu, Jokate na Diamond wanafanya tumaini kuachana siyo vita, mnaweza mka achana na bado amani ika endelea kutawala kati kati yenu 🖐️