kwenye kona punguza mwendo mpaka utakapoona mbele yako kupo salama ndio uanze kuongeza mwendo pia dereva aliyekuwa anashuka alitakiwa kupunguza mwendo pia
2026-08-06 08:38:02
15
baraka madelem :
duuh apo kama mmetoka bas mipango ya mungu
2026-08-09 19:25:33
1
salumsajent :
apo ajali imetokea kweli ila makosa ya madeleva wawii apo uyo mwenye gali bovu ajaeka kito chochote kujulicha kama gali mbovu na uyu nae alikuwa bize na simu ndo mana tuna ambiwa ata dalasani nyanzo ya ajali ni nini
(1)matumizi ya simu
(2)uchovu
(3)ulezi
(4)usingizi
(5)kuto kuzijua shelia za balabani
2026-08-06 06:42:22
6
no name :
Sasa walikua wanarekodi walijua nini kinaenda ku happen
2026-08-05 12:10:17
4
BIGBROTHER😎 THE WELDER :
Uyo aliosema subhanallah atakuwa kapona tumtegemee Mungu kwa kila kitu🥺🥺
2026-08-07 19:34:51
2
py :
kumbe alikua anarekodi ye mwenyewe
2026-08-08 13:36:30
0
Black Panther ✝️ :
aliposem aaah hapo kajaribu breki hamna ndo akaanz kuita mama
2026-08-06 07:58:05
2
mad monkey 🐵🐵 :
simu itaja maliza watu
2026-08-06 15:13:43
2
Big Mo 🔥 :
mama atakusaidia nini?
2026-08-06 08:59:54
1
wizzy_khalipha :
chanzo kilikuwa nini
2026-08-07 19:59:39
0
Amidu jr :
Pole kka
2026-08-07 12:37:09
1
manuu :
dereva wa malori huwa wanapuuza sana kuweka viashiria vya kuonyesha kwamba mbele kuna tatizo, magari yao huwa yanaharibika sehemu mbaya sana lakini hawaweki chochote kutoa taarifa kwa watumiaji wengine wa barabara,
2026-08-08 07:41:08
2
Mussa🇹🇿🇺🇲 :
Dah ukiambiwa mwamba kapona uwezi amini ila deleva huyo wa kulia ndo alie faliki innalilah wainnalilah raajuni
2026-08-06 18:43:34
3
BABA DADY :
kila leo hii tu na nyie duuuu
2026-08-07 08:01:29
1
rayhoney08 :
Mwenyezi Mungu walinde madereva na watumiaji wote wa barabara kwa ujumla aisee gar ni silaha kama silaha nyengine.
2026-08-06 18:41:07
1
SURF :
apo angeweza kuweka mguu kati sema break zimemfelisha kaka
2026-08-06 08:28:11
1
AZALIA ELECTRICAL ACCESSORIES :
anashukaje na 80 kwenye mtelemko na mbele Kuna kona
2026-08-06 07:01:40
1
𝑪𝒐𝒖𝒔𝒊𝒏 :
Gari liwe na Brake au lisiwe nalo kosa ni la huyo alipaki gari bovu bila kuweka tahadhari,angeweka majani hata mita 100 ingesaidia madereva wenzie kuendesha kwa kujihami sio hivo kulipaki no hazard no reflector
2026-08-07 04:49:53
1
Swedy Zamili :
iyo oliyorecod ni dashcamera mzee izo gar zote zimefungwa camera
2026-08-06 05:14:45
2
shauri mtaita :
daaaaa
2026-08-06 13:38:29
1
vanc_ :
natumain hatujampotez mtu familia
2026-08-06 17:09:12
3
Jminko :
Gar nyingi siku hiz zina camera
2026-08-06 01:44:07
3
NY✨TA💥 :
ukiona umekanyaga brek hazishiki toa mguu nje kanyaga chini itasika..
2026-08-06 19:01:05
2
Bad boy 32 :
dah hii imeniuma sana 😭😭😭😭
2026-08-05 22:06:38
2
To see more videos from user @kidenya0, please go to the Tikwm
homepage.