Daddy you’re doing meaningful work 🙌 your courage and dedication are inspiring. May you be granted long life and strength to keep making a positive impact on future generations.
2026-08-06 04:24:14
0
modester tz :
usichoke baba
2026-08-06 06:16:41
0
Pascalos Shabani :
Pasta ana liya daaaaa pole 😎😅😅
2026-08-05 14:30:35
1
NAFUBOY_COMEDIAN :
hakuna KUACHA baba mbk waache
2026-08-05 19:28:22
57
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-08-06 04:42:37
0
am pili :
mpaka kinena kimenicheza 🥺
2026-08-05 14:27:52
23
Bestkey Mp :
tell them
2026-08-06 08:44:21
0
mallya :
ndiyomaana tukienda kununuwa pampasi za watoto wetu tunaulizwa saizi ngapi.
2026-08-05 12:22:00
31
Hussein jr Tz💪🦾☠️☠️ :
kaza buti mungu yupo nawe nasi tupo pamoja nawe prophet ipm master 💯💯💯
2026-08-05 09:43:30
64
mwinjilisti+255768000689 tz :
SHIDA IPO IKULU DOCTOR
2026-08-05 17:10:59
19
Aneth Aron🥀🌹 :
Mmmmmmmhhhhhhh????
2026-08-05 09:45:20
1
Godlive na Yuhai :
Nilikua namchukia huyu baba kumbe nimegundua nilikua nakosea sana naomba popote ulipo unisamehe kama hutojari nijibu nijue kama umenisamehe tafadhali Mungu akupe ujasiri usikate tamaa kupigania hili
2026-08-05 14:25:04
33
Nchagwa70# :
Kaka mkubwa mizimu inakulinda fanya kazi💪
2026-08-05 10:05:24
26
fetty fei :
Allah atunusulu vizazi vyetu 🙏msiba wa taifa huu😭
2026-08-05 18:10:31
8
Ommy True love :
sahihi IPM unachoongea
2026-08-05 09:26:37
13
Hosea Kasege :
pastor hongela kwa kuona mungu aendelee kuku Linda tunataman kuyasemq hayo ila hatina nafas
2026-08-05 10:04:34
17
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Hayo mambo ni agenda za wazi Kwa sasa nadhani hakuna namna ya kudhibiti Hali hii sababu watu hawa Wana nguvu kubwaaa
2026-08-05 15:02:57
8
Hamis arone :
Mungu akilinde sana, haki na kweli yako itakuweka huru kwa jina la yesu!🙏📓
2026-08-05 09:56:52
8
user4298216140429 :
pole Mtumishi wala hawatokuua na utaishi inauma ,inauma sana mno,
2026-08-05 09:59:11
6
Mr agai✅ :
Pole sana baba yangu ina uma sana
2026-08-05 09:23:01
10
Ommy Gaya :
mzee wangu dah nashindwa kuelewa mwenzako dah hali ni mbaya mzeee