tambulisha ivi shemeji na marafiki wote wakiume wasimame🤣🤣🤣
2026-08-05 11:30:03
1743
Jasmine Pazuel :
😂😂😂Ilishanitokea mubaba na boyfriend walikuja kwenye graduation
2026-08-05 12:49:12
638
ivon dismas :
nawote wamegaramia birthday 😂🤣🤣😂🙌🙌
2026-08-05 10:58:43
459
Brown skin cosmetics :
nakumbuka ilikua siku ya gradulatio yangu wanaume 4na kati yao 3 wamelipia kila kitu mpaka pesa ya mpiga picha tayar nishapewa ila wote niliwasogelea kila mtu kwa muda wake nikifik karib namwambia mama na baba yupo kwaiyo we fanya kama rafiki wazazi wasijue chochote kumbe wazazi ni wezie wasijue ila yule asielipia chochote aligundua mchezo akajifanya anataka kumfata mmoj mmoja nilitoa machozi mpak hakuamin nilimwambiwa mama atajua nimekwisha mm🤣🤣🤣 ikabidi awe na uruma muda wa picha sasa 😁 tayar nishawapang nishike mkono kwenye picha kama napokea chet mambo yasiwe meng wazaz ataelewa code ila jaman mungu atusameh kila mtu atak anipe zawad alokuja nayo akiwa anapiga picha yani fujo tupu siku iliisha kwa shida sana kila muda nimfate mmoja mmoja kumueleza usifanye ivyo wazazi watashuk jamaniii🙌🙌 sitak tena haya mambo
2026-08-05 22:17:51
206
Sumayyah :
Yaliwahi kunikuta mwenzenu birthday yangu wanaume wa3 wakaandaa suprise party😂😂 halafu wote usiku, fanya kama unaona na wote wa muhimu
2026-08-05 17:05:50
111
Esthy g :
Waweke meza moja afu sema hii meza ya shemeji na kaka zake,kisha sema shemeji naomba usimame na kina kaka kwa pamoja
2026-08-05 18:35:28
85
miss p🧚♀️ :
mie nasimama nasema "jamani naombeni utulivu tafadhali tupo nje ya mda kwakuwa mda hautoshi bc nitaomba mume mtalajiwa na mashemeji zangu wote msimame mtupungie mikono ningetambulisha mmojammoja ila mda hautoshi dj tafadhali mwimbo kwa mashemejiiiii" imeisha iyo asiyeelewa atanifata baada ya shuhuli🤣🤣
2026-08-07 12:23:30
44
skoyo Naomi :
awatambulishe tu mwenyewe kwakweli😂😂😂
2026-08-05 11:55:29
58
chutney :
enheee kwisha rafik yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-05 10:22:03
50
Ashley 👑❤️ :
😆😆😆😆 ndio kilicho nikuta kwenye birthday ya bwana Ang kashindwa kumtaja birthday girl mamae
mimi ntasema tafadhali kwakuwa tuko nje ya mda naomba shemeji yangu na malafiki Wote wakiume mliofanikiwa kufika apa muamke mtoe zawadi tafadhali ili kuokoa mda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
2026-08-06 15:16:32
22
it's jeny :
Yaan wew ni mim kbs
2026-08-05 12:00:03
36
suzie demples babe❤️ :
hii imenikuta Leo mume wa mtu na kajirani mm mapenzi ya jirani siyawezi tena Yani mpaka nashindwa kumleta mlipa kodi😂😭💔
2026-08-06 11:45:50
9
Darling :
Ndio maana wengine tupo single kumbe kuna wengine wanao mpk wa 3🤣🤣🤣