@veriafya: Tabia ya kuwaachia watoto wadogo simu wachezee wanavyotaka bila uangalizi wa mlezi au mzazi si nzuri kwa afya yao ya akili kwani inaweza kuwasababishia matatizo ikiwemo la Usonji. Prof. Karim Manji, Mhadhiri - Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili alizungumza kupitia Torch Media Tz.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 05 August 2026 09:33:22 GMT
31719
336
4
326

Music

Download

Comments

judithmollel
judithmollel0 :
Mtoto wangu kabsa miaka 3 anaongea maneno machache
2026-08-05 16:51:13
1
amani.shalom
Amani Shalom :
nimesikia uhaya😂
2026-08-05 12:44:49
0
mshale720
mshalethe :
kweli
2026-08-05 14:50:38
0
idrisashabaniisaka
Idrisa Shabani Isaka :
@Hawa Maingu995
2026-08-05 15:51:39
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About